Tuesday, May 16, 2017

In maana mb dogg lyrics

Ina maana hujui kama
Nakupenda sana wee
Jinsi ulivyoumbika duu
Mi nakonda na we
Ina maana hujui kama
Nakupenda sana wee
Jinsi ulivyoumbika duu
Mi nakonda na we
Niamini baby moyo wangu
Umeuteka wee
Sili silali juu yako
Mi na mawazo
Bora shida na njaa my baby girl
Huwa mazoea
Ila sivo kuona we my wife
Nakosa raha kabisa
Ina maana hujui kama
Nakupenda sana wee
Jinsi ulivyoumbika duu
Mi nakonda na we
Ina maana hujui kama
Nakupenda sana wee
Jinsi ulivyoumbika duu
Mi nakonda na we
Uzuri wa sura yako baby maa
Umekufanya nikupe taji la Afrika
Nimejikaza nisiseme Nancy Sumari
Eeh! Mi nashindwa nawe
Naposikia jina lako oh
Natamani nikufate ulipo maa
Huwa sili silali Nancy Sumari
Hey! Mi nakonda na we
Unafaa kuheshimika sio kwa taji waliokuvika
Umzuri wa asili idara zote umekamilika
Umrefu kama twiga
Kifuani kama miba
Sina ufana nae labda dada ‘angu Saida
Unawaka kama nyota angani inayong’aa
Umalkia wa ajabu unapaswa nikuite star
Nakupongeza kwa zeze huku kitaa
Mwana wa Sumari nawe matawi ya juu shaa!
Macho yanashangaa ila nafsi imekubali
Wewe wala haitoshi kupewa zawadi ya gari
Zawadi kubwa apewe mtu kama mimi
Ambaye ntakuthamini hata ukiwa mwezini
Nachokuomba kuwa busy kwepa skendo
Mi ntakutunuku shahada nyingi za urembo
Mungu kakumulika malkia wa Afrika
Kwa kifupi mama umekubalika
Sio tu Madee MB Dogg mama Pashta
Hata Kwembe Tolu kasema we senyorita
Huku vacho unapendeza na macho unalegeza
Wala hujala kungu nahisi unanikonyeza
Right?
Natamani uende kwetu
Mh kwetu kwetu
Kwetu kule Manza Bay
Natamani uende kwetu
Kwetu kule Manza Bay
Ukale-kale wali na sombe
Natamani uende kwetu
Kwetu kule Manza Bay
Natamani uende kwetu
Kwetu kule Manza Bay
Ukale-kale wali na sombe
Sema unachotaka
Baby mi ntakupa
We ndo kimwana face wa Afrika
Tumboni navidonda
Mawazo mi nakonda
MB Dogg man nachoka kabisa
Natamani uende kwetu
Kwetu kwetu
Kwetu kule Manza Bay
Natamani uende kwetu
Kwetu kule Manza Bay
Ukale-kale wali na sombe
Sema unachotaka
Baby mi ntakupa
We ndo kimwana face wa Afrika
Tumboni navidonda
Mawazo mi nakonda
MB Dogg man nachoka kabisa

1 comment: