Monday, May 15, 2017

Kibabe prof Jay lyrics

Mikumi Stand up is another one
Touch touch touch
Aha aha
Baada ya pilika na Mheshimiwa Spika
Mikumi imenipa kibali cha kuwakilisha
Kick kick snare mmeniita nimeitika
Now here comes the sound of the mister tongue twister
Mr MP
The MVP and the true definition of the real MC
The real MC
The heavyweight MC wana uzito wa kinyoya now they wanna test me
The undisputed undefeated Mayweather
Chaguo la kitaa naishi kwenye all weather
Sometimes chips kuku sometimes chukuchuku
Wanadhani swimming pool nawaogesha kwenye upupu
I shut em down na onyo kwa makasuku
Wenye fikra fupi kama umeme wa LUKU
Mi nawaza billions wao wanawaza buku
Ona wanavyoneng’eneka na hizi punch zenye muku
The motivator respect man the true soldier
Nimechonga barabara unapita the bulldozer
The icon tangu na tangu sio nguvu ya soda
Huwezi fika mia na kama hujaanza moja
Yeah wanabeep wanakimbia
One man army
wanapima wanakimbia
The Icon
Wanabeep wanakimbia
Show za kibabe
Flow za kibabe
Style za kibabe
Yeah wanabeep wanakimbia
One man army wanapima wanakimbia
The Icon
Wanabeep wanakimbia
Show za kibabe
Flow za kibabe
Nakuchapa kiuchumi nakuchapa kwa ngumi
Nakuchapa kwa heshima nakuchapa kihuni
Nakuchapa kwa fanbase
Hii ndio chata ya Mikumi
Nakuchapa kwa michano hata urap kwa Kirumi
Nilishawasamehe wasanii wenzangu
Waliokuja jimboni kupinga ubunge wangu
Mabasi na mabasi jiongezeni wanangu
Asante wana Mikumi kwa kuwa na imani kwangu
Next time mkija tena protect your neck
Msijesema sikusema it’s WAR for God’s sake
Sanaa yataka umoja nitakubeba ukianguka
Hao wanawatumia na mwisho wanawatupa
Kuingia mjengoni hakujanitia mawenge
Nimeongeza washkaji kina Mbatia na Chenge
Vamia nikulenge sio lazima mnipende
To all you wack MCs nawakandia niwajenge
Mbunge ninayeongoza binadamu na wanyama
Bongo Flava Mesiah najua nachokifanya
Usiponisikia leo jua kesho narudi
Mwambieni Mfalme wenu siti yangu aifute vumbi
Yeah wanabeep wanakimbia
One man army
wanapima wanakimbia
The Icon
Wanabeep wanakimbia
Show za kibabe
Flow za kibabe
Style za kibabe
Yeah wanabeep wanakimbia
One man army wanapima wanakimbia
The Icon
Wanabeep wanakimbia
Show za kibabe
Flow za kibabe
Nimezaliwa kushinda eeh
Na ndio maana niko pale eeh
Anayepanga ni Mungu eeeh
Binadamu hawezi bana eeeh
Kwa wanangu wa kitaa
Show za kibabe
Flow za kibabe
Style za kibabe
Kwa wanangu wa ghetto
Show za kibabe
Flow za kibabe
Style za kibabe
Kwa wanangu wa kitaa
Show za kibabe
Flow za kibabe
Style za kibabe
Kwa wanangu wa ghetto
Show za kibabe
Flow za kibabe
Style za kibabe
Yeah wanabeep wanakimbia
One man army
wanapima wanakimbia
The Icon
Wanabeep wanakimbia
Show za kibabe
Flow za kibabe
Style za kibabe
Yeah wanabeep wanakimbia
One man army wanapima wanakimbia
The Icon
Wanabeep wanakimbia
Show za kibabe
Flow za kibabe

No comments:

Post a Comment