Tuesday, May 16, 2017

At binadamu lyrics

This is A.Y from Tanzania
Maurice Kirya and Hamdee from Uganda
It’s a dedication to all African who living in poverty
Usiombee mambo yaharibike
Pesa usiishike, mfano wa mti upukutike
Utaonekana si lolote si chochote
Utaonekana karaha kwa watu siku zote
Walimwengu hawatakupa mikono
Magonjwa yatakuvuta ndani ya shimo
Utakata tamaa, utaandama na balaa
Pumzi hutovuta kwa raha, kweli usiombee kuwahi
Survive for fittest
Never trust nobody in this world of weakness
Watakukana hata kama ndugu zako
Watadiriki sema hawajui hutokako
Mama acha kulia
Hayo uliyonayo ni majaribu tu ya dunia
Ipo siku mambo yako yatatulia
Utasahau hata Mabaya ya zamani uliyopitia
Ooh hii dunia
Bagalalinaa
Gendo kole,
You should think about tomorrow
Not only today
Bagalalinaa, Gendokolee
Uuh, Gendokoleee
Yeeeh
Wapo wapi marafiki uliokuwa nao
Enzi zile pesa imekutembelea
Wako wapi sasa?
Hawapo wamekukimbia
Sasa huko waliko tayari wanakukandia
Ada ya watoto hujalipia
kodi ya chumba nayo unadaiwa
unazidi changanyikiwa
Hata unajuta oh kwanini ulizaliwa
Piga moyo konde maisha uyashind.
Bado safari ndefu yenye miba na mabonde
Usiweke kinyongo hata kama walikutupa
Remain strong in this world
Don’t be jealous dats all
Bagalalinaa
Gendo kole
You should think about tomorrow
Not only today
Bagalalinaa
Gendokolee
Uuh
Gendokoleee
Yeeeh
Binadamu sio watu
Ukiwa na shida hutowaona
Ona sasa wamekimbia
Ona sasa wamekimbia
Bagalalinaa
Gendo kole
You should think about tomorrow
Not only today
Bagalalinaa
Gendokolee
Uuh
Gendokoleee
Yeeeh

No comments:

Post a Comment