Wednesday, February 28, 2018

Shikamoo mapenzi Ally nipishe

Shikamoo mapenzi
Ulinifanya nikalia
Heshima yako mapenzi
Umenifanya nafurahia
We ni chaguo langu
Wengi washanikimbia
Na hisia zangu
Nawe ukazipokea
Kama kupenda ni dhambi
Nipo radhi kwa Mungu nichomwe
Nami kuficha siwezi
Hadharani niacheni niseme
Na moyo wangu
Umpende-umpende-umpende-umpende
Nifanye nini, niacheni niwe naye
Waache waniseme (sema)
Waache waniseme (sema)
Wacha waniimbe lakini kwako nishafika
Waache waniseme (sema)
Waache waniseme (sema)
Waache waniimbe lakini kwako nishafika
We ndo tulizo la roho
Nafsi na mwili visharidhia
Na ukisema no
Yaani kiukweli utanionea
Ananipaga na pweza nakunywa
Nisichoke kupambana
Umeniweza ka wewe hakuna
Kama yupo sijamuona
Yule ni yeye, niacheni nae
Mimi, kama kupenda ni dhambi
Nipo radhi kwa Mungu nichomwe
Nami kuficha siwezi
Hadharani niacheni niseme
Na moyo wangu
Umpende-umpende-umpende-umpende
Nifanye nini, niacheni niwe naye
Waache waniseme (sema)
Waache waniseme (sema)
Waache waniimbe lakini kwako nishafika
Waache waniseme (sema)
Waache waniseme (sema)
Waache waniimbe lakini kwako nishafika
Wacha waniseme, wacha waniseme
Mimi na wewe
Mmh mmh, na wewe
Wakiniona wee
Waache wanisemege…
Sawa!
Mazuu (Record!)
Joshua Beze, Tumeruwana
Waache waseme
Mwisho wa siku ni mimi na we
Waache waseme (Limonsolo)
Respect ma boss
Ally Nipishe, I’m back again!
Sawa, AD Classic
Holla!

No comments:

Post a Comment