Wednesday, February 28, 2018

Joh Makini - Waya lyrics

Eeeh
Eeeh Imma gonna holla at ya
Imma gonna holla at ya
Eeeh Imma gonna holla at ya
Eeeh eeh excuse miss can I get ur number
Can I get ur number
Excuse miss can I get ur number
Can I get ur number
Eeeh Imma gonna holla at ya
Imma gonna holla at ya
Eeeh Imma gonna holla at ya
Na nikivuta waya
Waya ujue nishajikoki
Na nikivuta waya
Waya ujue nishajikoki
Mimi sina ma story mob
Story ni moko tu temana na zile mob
Story mitoko tu
story mikoko tu
Marafiki mapopo full
Demu for you wanajifanya wamelewa
Na kumbe wana stress za kuolewa boo
Subiri maisha yawapigie boo
Nipe number mi ni come through
Makini siyo waluwalu nishazichanga
Changia mawazo tujenge hekaru
It has been along time hustle
Tz Jay Z raso
Walai kwako mimi nachotaka nilipark
Mazima mama ma vacay national park
Ma vacay Mama K I know your smart
Joh nimebarikiwa wala sio kismati
We play smarter rafikizo walisema nini
It doesnt matter ulimbo nimenasa
Ka umbo ni swadakta ulingoni sikuachi
Gere mifimbo mi nachapa maringo ndo kabisa nazidisha
Nkikupata dili zangu ndefu hazina ukingoni
Ka tabasamu kama kidoti wa kingoni hii
Wapinzani hawahemi maji shingoni
Soooo
Excuse miss can I get ur number
Can I get ur number
Excuse miss can I get ur number
Can I get ur number
Eeeh Imma gonna holla at ya
Imma gonna holla at ya
Eeeh Imma gonna holla at ya
Eeeh Imma gonna holla at ya
Hata walete compe compe
Ushindani mi siogopi
Weusi ni company shawty
Mi siropoki
Na Nikivuta Waya Wayaa
Ujue nishajikoki
Selfmade pesa ya starehe skopi
Cash flow
Kwenye mzunguko mimi stoki
Keshooo
Haitokuwa na shaka siongopi
Poteza muda Ila sio hii bahati ati
Usinipotezee katikati
Binti nipoteze kwenye moyo
Mangi mtamu nitakuruhusu
Kuwa mchoyo sikuja kula tunda
Nimekuja kupanda mbegu ya matunda
Sisi tuwe mizigo maisha yawe punda
Kwa lugha ya nyumbani nkukunda
Leo nimegonga like kesho nitapenda ila
Siunajua kupenda kweli
Sio kupendagaaa vile unakaa ni costar kwenye hili movie
Na vile mimi ni star haswa
It gon be a movie shawty
Imma gonna holla at ya
Imma gonna holla at ya
Eeeh Imma gonna holla at ya
Imma holla at ya
Eeeh eeh excuse miss can I get ur number
Can I get ur number
Excuse miss can I get ur number
Can I get ur number
Eeeh Imma gonna holla at ya
Imma gonna holla at ya
Eeeh Imma gonna holla at ya
Na nikivuta waya
Waya ujue nishajikoki
Na nikivuta waya
Waya ujue nishajikoki
Na nikivuta waya
Waya ujue nishajikoki
Na nikivuta waya
Waya ujue nishajikoki

No comments:

Post a Comment