Tuesday, February 27, 2018

Shetta – Namjua Lyrics

Haah, Yo Baba Kayla Shetta Shetta
Namjua (okay) namjua namjua (okay) namjua
Namjua namjua namjua (hahah) namjua
Kuwa nae paradiso mie nae huwahi kwa kifo
kama babu na kiko niko nae toka nauza siso
Akitembea lawama (namjua) eh okay
Huko nyuma danadana (namjua)
Iwe kokwa iwe ganda akinipa najilamba
Anavonicheza vanga timbwili kwenye kitanda
Aleleleleleee aleleleleleee
Mwenye ki-shape kidogo (namjua namjua)
Mwendo wake wa mikogo (namjua namjua)
Sura kama mtoto mdogo (namjua) eh (namjua)
Utamu wa embe dodo (namjua namjua)
Shusha nchungulie (adedede eh adedede)
Nione kwa mbali (adedede okay adedede)
Japo nshikilie (adedede eh adedede)
chungu au asali (adedede okay adedede)
Leo pochi imenona mi nataka kutoka
Vaa top ya kushona nigonge suti na moka
Tena ukiwaona usije ukashoboka
Tuwafungie na kona maana marafiki nyoka
Iwe kokwa iwe ganda akinipa najilamba
Anavonicheza vanga timbwili kwenye kitanda
Aleleleleleee aleleleleleee
Mwenye ki-shape kidogo (namjua namjua)
Mwendo wake wa mikogo (namjua namjua)
Sura kama mtoto mdogo (namjua) eh (namjua)
Utamu wa embe dodo (namjua namjua)
Shusha nchungulie (adedede eh adedede)
Nione kwa mbali (adedede okay adedede)
Japo nishikilie (adedede eh adedede)
chungu au asali (adedede okay adedede) (x2)

No comments:

Post a Comment