Achana na sura yake, napenda tabia zake
Heshima kwa wazazi wake
We, unafaa kuishi nami
Wee eh
Nasema mi, siku haipiti mpaka nimuone yeye
Nasema mi, chakula hakipiti mpaka nimuone yeye
Eh! Sitaki we ulie, sitaki we uumie
Nataka utulie, tena kwangu mie
Yuko lovely, everyday na-feel kuwa nae
Yuko lovely, everyday na-feel kuwa nae
Yuko lovely
Yuko lovely
Heey, hey, hey, hey
Heey, hey, hey, hey
Nimempa moyo wangu mi, autunze
Tabasamu lake kwangu mi, asipunguze
Ah zile stress na maumivu ya nyuma, alishafuta
Na every day, tunavuna tunachuma, tunasonga
Eh! Sitaki we ulie, sitaki we uumie
Nataka utulie, tena kwangu mie
Yuko lovely, everyday na-feel kuwa nae
Yuko lovely, everyday na-feel kuwa nae
Yuko lovely
Yuko lovely
Heey, hey, hey, hey
Heey, hey, hey, hey
Heey, hey, hey, hey
Heey, hey, hey, hey
Yuko lovely, everyday na-feel kuwa nae
Yuko lovely, everyday na-feel kuwa nae
Yuko lovely
Yuko lovely
No comments:
Post a Comment