Sule anaumia single
Huwa anaonewa single yoo single yoo
Huwa anaonewa single yoo single yoo
Sina nguvu utanifunga kamba kwenye reli
Sina jinsi anajua bado ni tapeli
Yee hajui tu mazoea yana shida yake
Na kila kituu sababu ni yeye yeye
Sina jinsi anajua bado ni tapeli
Yee hajui tu mazoea yana shida yake
Na kila kituu sababu ni yeye yeye
Nilikuwa nalewa (single)
Na raha sana (single)
Nilikuwa nagawa pesa nyingi sana
Nilikuwa nalewa (single) na raha (single)
Nilikuwa nagawa pesa nyingi sana
Na raha sana (single)
Nilikuwa nagawa pesa nyingi sana
Nilikuwa nalewa (single) na raha (single)
Nilikuwa nagawa pesa nyingi sana
Single analia (single) single anaumia (single)
Single anaonewa (single) single yoyo yoyo (single)
Single analia (single) anaumia (single)
Single anaonewa (single) single yoyo yoyo (single)
Single anaonewa (single) single yoyo yoyo (single)
Single analia (single) anaumia (single)
Single anaonewa (single) single yoyo yoyo (single)
Hakuna mtu anapenda penzi la kejeli
Na kila siku nilale huruma nafeli
Na unajisifu ulinikamata kweli kweli
Eti mtakatifu umeumbwa kupendwa wewe
Nilikuwa na raha sasa karaha sana
Nimekuwa mtumwa
Sababu si ni wewe wewe
Nilikuwa na raha sasa karaha

Single analala single analalamika
Analia sana oh oh
Single anaumia single eh
single anaonewa eeh (single)
Single analalamika (single) anaonewa (single)
Single yoo single yoo (single) ehii (single)
Single analala (single) -mika sana (single)
Single anaonewa (single)
Single yoyoyoyo (single) oyoyoyoyo.. (single)
Single analia (single) anaonewa (single)
Single yo single yo (single) single yoyo… (single)…single…single

No comments:
Post a Comment