Tuesday, February 27, 2018

Pusha Aslay

Eh pusha washa
Mimi nina stress zimejaa kwenye kichwa
Mh sogeza kiti kaa
Nikueleze machache yaliyonikuta
Kuna kijana ananisumbua sana
Mke wangu raha hana nyumbani amani hakuna
Asidhani mimi ni mkimya sana
Mwenzie naumia roho yangu
Isije baadae mi kupata lawama
Nikaharibu CV yangu
Mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae
Nasema mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae
Mkimwona mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae
Eh
Mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae
Anapita kibarazani nguo kashusha makalioni
Anajifanya yeye muhuni wenzie tulianza tisini
Tutabadilishana majengo ya serikalini(aah)
Mimi niende jela yeye aende mochwari(aah)
Asidhani mimi ni mkimya sana
Mwenzie naumia roho yangu
Isije baadae mi kupata lawama
Nikaharibu CV yangu
Mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae
Nasema mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae
Mkimwona mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae
Eh
Mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae
Aiyo aiyo aiyoyo
Huwa sipendagi dharau
Aiyo aiyo aiyoyo
Mwambie anajisahau
Aiyo aiyo aiyoyo
Tutachukiana mama
Aiyo aiyo aiyoyo
Tutapeana lawama sana

No comments:

Post a Comment