Sasa naweza kusema nakupenda ooh
Na niko tayali kupa moyo wangu eeh ih
Na ujue ya kwamba nakupenda
Na niko tayari kwenda popote
Usinifanye nikateseka (oh noo)
Usinifanye nikaibika (oh noo)
Mpenzi wangu sitakutupa (oh noo)
Ukinibeba nitabebeka (oh yee)
Usinifanye nikaibika (oh noo)
Mpenzi wangu sitakutupa (oh noo)
Ukinibeba nitabebeka (oh yee)
Moyo wangu unakupenda sana baby (ooh) baby oh my baby
Moyo wangu unakupenda sana baby baby you’re my baby
Moyo wangu unakupenda sana baby baby you’re my baby
Oh nanana hakuna wa kuja kati yetu
Hakuna kitu kibaya chochote kati yetu
Yote milima nayo mabonde aah tutapita
Hakuna kitu kibaya chochote kati yetu
Yote milima nayo mabonde aah tutapita
Usiniache nikateseka (oh noo)
Usiniache nikaibika (oh noo)
Mpenzi wangu sitakutupa (oh noo)
Ukinibeba nitabebeka (oh yee)
Usiniache nikaibika (oh noo)
Mpenzi wangu sitakutupa (oh noo)
Ukinibeba nitabebeka (oh yee)
Moyo wangu unakupenda sana baby (ooh baby) baby oh my baby
Moyo wangu unakupenda sana baby baby you’re my baby
Moyo wangu unakupenda sana baby baby you’re my baby
Oh nanana nitakaa sitakutupa nitakaa sitaondoka
Nitakaa takaa na wewe nitakaa sitaondoka
Nitakaa sitakutupa nitakaa sitaondoka
Nitakaa takaa na wewe nitakaa sitaondoka
Nitakaa takaa na wewe nitakaa sitaondoka
Nitakaa sitakutupa nitakaa sitaondoka
Nitakaa takaa na wewe nitakaa sitaondoka
Usiniache nikateseka (oh noo)
Usiniache nikaibika (oh noo)
Mpenzi wangu sitakutupa (oh noo)
Ukinibeba nitabebeka (oh yee)
Usiniache nikaibika (oh noo)
Mpenzi wangu sitakutupa (oh noo)
Ukinibeba nitabebeka (oh yee)
Moyo wangu unakupenda sana baby (ooh baby) baby oh my baby
Moyo wangu unakupenda sana baby baby you’re my baby oh nanana
Moyo wangu unakupenda sana baby baby you’re my baby oh nanana
Mpenzi wangu nitakaa nawe milele ooh…mamamamamamaa
No comments:
Post a Comment