Iyaka…alelelelele nisange na ngoma iyo
Nisange na ngoma iyo mama (nisange na ngoma iyo)
Nisange na ngoma iyo mama (nikute na ngoma iyo)
Nikute na ngoma iyo (maria) maria mama
Nisange na ngoma iyo

Nisange na ngoma iyo maria mwanangu
Nilimujaza tumbo mama yak ah
Mama akakuleka mwanae oh sasa umekua mama hmm

Nisange na ngoma hiyo
Isa isange na ngoma hiyo mamamama (nikute na ngoma hiyo)
Sasa umekua mamamama (maria mama)

Yale tuliokufunza mie na bibi yako (nisange na ngoma iyo)
Uende ushike ukatunze nyumba yako (nikute na ngoma iyo)
Nikute nango nikute na ngoma mamamama
(maria mama nisange na ngoma iyo)

Kwa sasa umekua utatusaidia ninganachotegemea utatusaidia
Na kakayo elimu sina na wewe ndo nakutegemea maria
Maria we (nisange na ngoma iyo)
Si unajua uchungu wa mzazi dada maria (nikute na ngoma iyo)
Atakuja atakumwaga razi kisha utali chunga
Vibarazani watacheza karata mastela
Dada linda ndoa yako mumeo asirudi kua bachelor
Watakutamani waone undani wako
Dada linda uwa lako mpende mume wakoo mume wako
(nisange na ngoma iyo)

Isa isange na ngoma hiyo mamamama (nikute na ngoma iyo)
Sasa umekua mamamama (maria mama)
Nisange na ngoma iyo
Sasa umekua mamamama (maria mama)
Nisange na ngoma iyo
Yale tuliokufunza mie na bibi yako (nisange na ngoma iyo)
Uende ushike ukatunze nyumba yako (nikute na ngoma iyo)
Nikute nango nikute na ngoma mamamama ( maria mama) aiyoo

Maria kelele kwa mumeo chunga
Maria si mudogo tena ungo umevunja (maria mwana lele)
Hivo viziwa dedede chunga wasikubebe
Zama za ukweli na uwaze maria mwanangu (ohoho)
Na mumeo harogwi na dumba mwanangu
Anarogwa na madikodiko mama
Akirudi anafunua sambusa mara vitumbua
Chakula kijaungua ndo sifa ya mwanamke mwanangu

Sa sange na ngoma hiyo mama (nikute na ngoma iyo)
Nenda salama dada (maria mama nisange na ngoma iyo)
Sange na ngoma hiyo mama (nisange na ngoma iyo)
Maria nitakumiss sana dada (nikute na ngoma iyo)
Oh dada (maria mama ) nisange na ngoma iyee

No comments:
Post a Comment