Mmh mh mhh
Staki mizozo
Mmh mh mhh
Staki mizozo
Mmh mh mhh
Eti nikuvumilie (univumilie)
Ku-share na bwana yule
Hata dhamiri yako wee (yako wee)
Ikusute unihurumie
Ku-share na bwana yule
Hata dhamiri yako wee (yako wee)
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie (nivumilie)
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe
Labda sijui mapenzi ndo sababu ukakimbia
Au alikuwepo kitambo hukutaka kuniambia
Na kiherehere cha kupost vipicha wenzangu
wananichora
Na kusema hujui hivi kwanini umeninyima
amani ehee ehee
Basi nikueleze huko kulalama unaniumiza moyo
Ningekuwa na choyo nisingedhamini upendo
Umejawa na lawama ila ungenionea huruma
Wajua hali yetu mpenzi
Nisingeweza vumilia shida na ku-pretend
Inaniumiza nakuweka wazi
Niambie nimuache aende
Na magari nilirudishe wazazi uwaambie
Kwenye nyumba watoke usimame kama mume
Basi nambie nimuache aende
Na magari nirudishe wazazi uwaambie
Kwenye nyumba watoke usimame kama mume
Au alikuwepo kitambo hukutaka kuniambia
Na kiherehere cha kupost vipicha wenzangu
wananichora
Na kusema hujui hivi kwanini umeninyima
amani ehee ehee
Basi nikueleze huko kulalama unaniumiza moyo
Ningekuwa na choyo nisingedhamini upendo
Umejawa na lawama ila ungenionea huruma
Wajua hali yetu mpenzi
Nisingeweza vumilia shida na ku-pretend
Inaniumiza nakuweka wazi
Niambie nimuache aende
Na magari nilirudishe wazazi uwaambie
Kwenye nyumba watoke usimame kama mume
Basi nambie nimuache aende
Na magari nirudishe wazazi uwaambie
Kwenye nyumba watoke usimame kama mume
Eti nikuvumilie (univumilie)
Ku-share na bwana yule
Hata dhamiri yako wee (yako wee)
Ikusute unihurumie
Ku-share na bwana yule
Hata dhamiri yako wee (yako wee)
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie (nivumilie)
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe
Amini na maneno nayokwambia utajanizingua
Mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua
Kwanini nikuangalie mpenzi wee
Ukitoka na mwingine
Unipe pesa za yule nitumie
Utanipenda kwa lipi eehee hee heee
Mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua
Kwanini nikuangalie mpenzi wee
Ukitoka na mwingine
Unipe pesa za yule nitumie
Utanipenda kwa lipi eehee hee heee
Habari ya mapenzi niulize mimi
We uko moyoni kelele za nini
Ninakuheshimu niamini
Vumilia kidogo nimchune mchune
We uko moyoni kelele za nini
Ninakuheshimu niamini
Vumilia kidogo nimchune mchune
Hivi ndo uanaume gani kusifiwa mapenzi
Kupeleka vijizawadi vyangu naona aibu
(Usijali baby)
Hadhi yangu ni vibajaji mwenzangu uzungu
Ntakuweza wapi samaki machozi baharini
Hata nikifanya huoni
Ni maumivu moyoni
Ntakuweza wapi samaki machozi baharini
Hata nikifanya huoni
Ni maumivu moyoni
Eti nikuvumilie masimango ya nini
Akijua mi mwenzie nitauawa yamkini
Kupeleka vijizawadi vyangu naona aibu
(Usijali baby)
Hadhi yangu ni vibajaji mwenzangu uzungu
Ntakuweza wapi samaki machozi baharini
Hata nikifanya huoni
Ni maumivu moyoni
Ntakuweza wapi samaki machozi baharini
Hata nikifanya huoni
Ni maumivu moyoni
Eti nikuvumilie masimango ya nini
Akijua mi mwenzie nitauawa yamkini
Eti nikuvumilie
Ku-share na bwana yule
Hata dhamiri yako wee
Ikusute unihurumie
Ku-share na bwana yule
Hata dhamiri yako wee
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe
Sitaki mizozo (mhm)
Nasema sitaki mizozo (Mh mmh)
Sitaki mizozo (mhm)
Nasema sitaki mizozo (eeh)
Nasema sitaki mizozo (Mh mmh)
Sitaki mizozo (mhm)
Nasema sitaki mizozo (eeh)
Sitaki mizozo (Naah)
Nasema sitaki mizozo (Uuh)
Sitaki mizozo (eeh)
Nasema sitaki mizozo (Eeh eehee)
Nasema sitaki mizozo (Uuh)
Sitaki mizozo (eeh)
Nasema sitaki mizozo (Eeh eehee)
No comments:
Post a Comment