Unajua vile inakuwa safi eh
Weusi wamekutana na Sappy
A city in a house na hii..na hii
Weusi wamekutana na Sappy
A city in a house na hii..na hii
Wanakemea mapepo.. pepo
Our life is like XO.. XO
Wanakemea mapepo.. pepo
Our life is like XO.. XO
Ile sana tu
Our life is like XO.. XO
Wanakemea mapepo.. pepo
Our life is like XO.. XO
Ile sana tu
True say mamii eh
Usihofie hawa mashabiki wanaishia kwa photo
Utokee mbali we ni ubavu wangu kushoto
Wa moto watuotee mbali
Wa moto watuotee mbali
Magoto tukuokee darlee
Si ndoto tuko fainalee
Mitoko tuko proper byee
Upepo sio Coco, si St. Tropez
Vile ndani patamu nje mi sitokei
Baby google my gogo Red Clique
Chini kidogo, majuu kwa fasi
Kata kidogo nenda kushoto
Ukilia, nafagilia
Endelea kulia, Oh Sh*t
Rudi kulia, shamba langu napalilia
Na pakikuche, napanda pia namwagilia
Yeah
Usihofie hawa mashabiki wanaishia kwa photo
Utokee mbali we ni ubavu wangu kushoto
Wa moto watuotee mbali
Wa moto watuotee mbali
Magoto tukuokee darlee
Si ndoto tuko fainalee
Mitoko tuko proper byee
Upepo sio Coco, si St. Tropez
Vile ndani patamu nje mi sitokei
Baby google my gogo Red Clique
Chini kidogo, majuu kwa fasi
Kata kidogo nenda kushoto
Ukilia, nafagilia
Endelea kulia, Oh Sh*t
Rudi kulia, shamba langu napalilia
Na pakikuche, napanda pia namwagilia
Yeah
Tutambae, tusimame tutembee dede
Kisha tupae baby (baby), baby (baby)
You know I dont need nobody (nobody), nobody eh
Kisha tupae baby (baby), baby (baby)
You know I dont need nobody (nobody), nobody eh
Wanakemea mapepo.. pepo
Our life is like XO.. XO
Wanakemea mapepo.. pepo
Our life is like XO.. XO
Ile sana tu
Our life is like XO.. XO
Wanakemea mapepo.. pepo
Our life is like XO.. XO
Ile sana tu
Yeah
Safi nadata na mental
Hisia ni zote kwa mtoto
Bwana nakupa heko..heko
Kabinti umenambia ni special
Nahitaji utulivu kujilia langu apple
Wanakemea mapepo oh
Penzi unajua nini Wana majibu machizi
We nobody biz.. we nobody business
Kunoga ni hivi, ni kama unakiss mad
Nadili siku hizi nyingi niko na mitikasi
Plus, jumlisha
Mi na wewe ndo maana ya maisha
Pumzisha mawazo kifuani kwa mista
Kistaharabu
Nacheza karata ya mapenzi simpoi
Maneno yao sio mikopo hawatudai
Na macho yao sioni kitu dont feel shy
Vidole vyao sio risasi, they shoot ehee
Nobody die, ikibinda nkoi ikibinda nkoi
We si ulinachaga hoi watanikuta Mo.. Moi, Moi
Safi nadata na mental
Hisia ni zote kwa mtoto
Bwana nakupa heko..heko
Kabinti umenambia ni special
Nahitaji utulivu kujilia langu apple
Wanakemea mapepo oh
Penzi unajua nini Wana majibu machizi
We nobody biz.. we nobody business
Kunoga ni hivi, ni kama unakiss mad
Nadili siku hizi nyingi niko na mitikasi
Plus, jumlisha
Mi na wewe ndo maana ya maisha
Pumzisha mawazo kifuani kwa mista
Kistaharabu
Nacheza karata ya mapenzi simpoi
Maneno yao sio mikopo hawatudai
Na macho yao sioni kitu dont feel shy
Vidole vyao sio risasi, they shoot ehee
Nobody die, ikibinda nkoi ikibinda nkoi
We si ulinachaga hoi watanikuta Mo.. Moi, Moi
Tutambae, tusimame tutembee dede
Kisha tupae baby (baby), baby (baby)
You know I dont need nobody (nobody), nobody eh
Kisha tupae baby (baby), baby (baby)
You know I dont need nobody (nobody), nobody eh
Wanakemea mapepo.. pepo
Our life is like XO.. XO
Wanakemea mapepo.. pepo
Our life is like XO.. XO
Ile sana tu
Our life is like XO.. XO
Wanakemea mapepo.. pepo
Our life is like XO.. XO
Ile sana tu
No comments:
Post a Comment