Wednesday, February 28, 2018

vice versa Barnaba lyrics

Ulinipa raha fresh maa nilivyokuwa na wewe
Nilihisi ntapaa you’re the one
Na…
Na…
Upendo wangu haukuusoma tu
Ni vile nilikwama sikuwa macho juu
Kosa langu, majuto mjukuu
Imekula kwangu na ni wewe boo
Mwenye thamani ya mapenzi ndo maana nakung’ang’ania
Siishi kuwaza, siishi kulia lia
Nimekukabidhi moyo na mali za dunia
Najua nilikupenda nawe ulinipenda pia
Nini kimetokea, au wajanja wameniotea?
Hauishi kuniongopea kweli is not fair
Nilitaka kuishi nawe ili mradi usiende mbali
Mapenzi mtikisiko unanrushia maji ya bahari
Bora ungekimbia wakati wa dhiki nikajua sina (baby
Ndo maana umeenda)
Sasa ipo cash na nnalo jina (moyo ma ukanieka vidonda)
Baby na baby ni pombe
Leo siko nawe kivipi nitambe?
What! Baby na baby ni pombe
Leo siko nawe kivipi nitambe?
Kipi tena kwa Mola niombe?
Niliomba pesa akanipa
Dhamira yangu nikutunze mpenzi we
Kwangu we imekuwa vice versa
Nazikumbuka zile siku
Ulizotamani kula kuku
Mfukoni nami nina buku tu
Leo imekuwa vice versa
Huu ndo muda wa kutulia na kuacha kulia
Na kuanza kuifurahia hii dunia
Yale uloyasikia, leo unajionea
Sasa unaanzaje, unaachaje kuyatumia?
Ume-change kama weather, ghafla umeteleza
Nakusakanya huonekani umeniweza
Ningejikweza, maisha ndo yanacheza
Life buba bize tumepoteza
Bora ungekimbia wakati wa dhiki nikajua sina (baby
Ndo maana umeenda)
Kuliko sasa ipo cash na nnalo jina (moyo maa ukanieka vidonda)
Baby na baby ni pombe
Leo siko nawe kivipi nitambe?
What! Baby na baby ni pombe
Leo siko nawe kivipi nitambe?
Kipi tena kwa Mola niombe?
Niliomba pesa akanipa
Dhamira yangu nikutunze mpenzi we
Kwangu we imekuwa vice versa
Nazikumbuka zile siku
Ulizotamani kula kuku
Mfukoni nami nina buku tu
Leo imekuwa vice versa
Kipi tena kwa Mola niombe?
Niliomba pesa akanipa
Dhamira yangu nikutunze mpenzi we
Kwangu we imekuwa vice versa
Nazikumbuka zile siku
Ulizotamani kula kuku
Mfukoni nami nina buku tu
Leo imekuwa vice versa

1 comment: