Tuesday, February 27, 2018

Darassa ft Rich Mavoko – Kama Utanipenda Lyrics

Mrembo, njoo tujenge malengo
Nikikutazama naona nyufa kwenye mjengo
Unaonekana kama mji wenye upendo
Unafanana na mtu aliochoshwa na mwendo
Si nikupe namba yangu unipigie weekend (weekend, weekend baby)
Moyo unasema mchukue huyu mtoto yuko stendi
Vile anavyohema sio kama mtu hapendi
Anauelewa mziki anahofia kuucheza
Anasema na lugha chafu ameshakuwa kifimbo cheza
Sema nini na Marlaw nabembeleza
Kwa Sera za Suma Lee nakula chungwa mpaka chenza
Heh shida kujuiuguza
Mama you hot na uko ndani unaniuguza
Staki kujua hata nkikijua ntapuuza
Ukitaka kula bata uache kumchunguza
Ah kama utanipenda sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba
Na kama utanipenda sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba
You know I like you
Mi nakupenda and I give you what you want eh
(eh whatchu want)
Nipe uchizi nidate hata nikilala kwenye usingizi ufuate
(the way you talk mama)
You know I like it
Me nakupenda and I give you what you want eh baby
(eh what you want)
Nipe uchizi nidate na nikilala kwenye usingizi ufuate
Hakuna single wala movie mama kwangu you’re my star
Mi shabiki yako nasimama hata ukikaa
Nahangaisha paa brake ziko Dar
Jitazame kwenye kioo how beautiful you are
Mapenzi ukichaa mapenzi uchizi
Uwe nacho ukikataa mwingine inamnyima usingizi
Mwingine atakesha mwingine atatesa
Mwingine atataka akutumie kama pesa
Yanajuana madini yakikutana
Mwanamke anahitaji matunzo na ndo kitu nachofanya
We utasema mi kichaa
Kumbe mwenzako nafuata what I feel inside
Ah kama utanipenda sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba
Na kama utanipenda sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba
You know I like you
Mi nakupenda and I give you what you want eh
(eh whatchu want)
Nipe uchizi nidate hata nikilala kwenye usingizi ufuate
(the way you talk mama)
You know I like it
Me nakupenda and I give you what you want eh baby
(eh what you want)
Nipe uchizi nidate na nikilala kwenye usingizi ufuate
Unataka nini mama
Usiniumizi moyo waweza kupaa
Mi niko loyal uendeshe motoka
Punguza uchoyo nguo za kuvaa
You’re my everything for me
Na ukiwa out oh what you want
Waweza kupaa baby
Uwendeshe motoka
Nguo za kuvaa
Na ukiwa out oh what you want
You’re my everything for me you’re my only one

No comments:

Post a Comment