Tuesday, December 3, 2019

Nje ya Box Nikki wa II na Joh Makini - G Nako

House of music
A City in the house
Mpeleke
Joh Makini
Nikki wa Pili
Wara Wara
Mpeleke nje nje
Nje ya kumi na nane
Nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje
Nje ya kumi na nane
Mungu nijalie demu mpenda pesa
Kila siku nipigane kuwa Bakhresa
Asinipende mimi apende Verossa
Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa
Malighafi ya suruali si boxer
Siri nyingi mahali dingi alikosa
Demu wa shida na raha na misoto sana
Huyo demu hanifai changamoto hana
Ikiwa demu wako anapenda vidogo
Uwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo
Demu amsifie sana bosi wangu
Nikasirike kesho nijenge kiwanda changu
Sitaki demu wa kitanga
Jioni moja kanga
Tayari amejipanga kwa mabusu mangapi
Demu nayemtaka
Manka wa Kichaga jioni anaulizaga
Umeingiza sh’ngapi
Mpeleke nje nje nje
Nje ya kumi nane
Nje nje nje
Nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje
Nje ya box
Nje ya box
Nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje
Nje ya kumi nane
Nje nje nje
Nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje
Nje ya box
Nje ya box
Nje ya kumi na nane
Namtoa nje ya box ndio ninfichee ndani ya boxer
Aulizie Ferrari jo ni kitu gani Verossa
Demu boda boda kwenye bajaji anasinzia
Itaua kipaji na uwezo wa kufikiria
Asinipende kama Joh anipende kama star
Super kabisa ile gumzo ya kitaa
Ili nikaze asinilemaze nikadumaa
Sio demu anayehitaji kuwa na ndoa
Bali mwanamke anayehitaji mahitaji ya ndoa
Na sheria mikononi simpigi demu
Nachukua sheria kiunoni Joh let me kill them
Asiyefanya kazi na asile ndio neno lenye uhai
Asishike neno ashike maneno yenye maslahi
My lips no shy when the hips don’t lie
Sio wa lift vocha
Gift shafi chips mayai
Demu cheap hanifai
Bali ghali afanye mi niwaze milioni
Kumuonga laki mbili tatizo nisione
Flow na mdundo ni mapene ya Mweusi hapa any
Sio miaka thelathini na tano driving school
Apende niendeshe magari mazuri yeah that’s cool
Mpeleke nje nje nje
Nje ya kumi nane
Nje nje nje
Nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje
Nje ya box
Nje ya box
Nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje
Nje ya kumi nane
Nje nje nje
Nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje
Nje ya box
Nje ya box
Nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje
Nje ya kumi nane
Nje nje nje
Nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje nje nje
Nje ya box
Nje ya box
Nje ya kumi na nane
Mpeleke nje nje nje

No comments:

Post a Comment