Tuesday, December 3, 2019

Atarudi Harmonize

Na ye ni mwanadamu na dunia tunapita
Kama kupata kwa zamu
Ooh zamu yangu itafika
Siwezi kna damu kesho wataja nizika
Ila ningependa afahamu haya mateso alonipa
Mmh
Tena mwambieni
Aloninyima mimi ndio kampa yeye eeh
Kupata foleni nasubiri yangu mimi hata ichelewe
Ooh ooh ooh
Sina furaha naigiza
ilimradi watoto wasijhisi vibaya
Huyu mdogo anauliza
Eti daddy mama ameihama kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusema
Atarudi (atarudi mama)
Atarudi (anawapenda sana)
Atarudi (atawaletea zawadi)
Atarudi (eeh atarudi mama)
Atarudi (atarudi mama)
Atarudi (anawapenda sana)
Atarudi (atawaletea zawadi)
Atarudi
Siwezi sema sijui tatizo
Hali yangu duni imefanya ukanikimbia
Ni vyema ungefanya maigizo
Mara kumi usingenizalia
Mmh ingali mapenzi pekee
Ningesema ni changamoto nijifunze
Ameniacha mpweke
Na watoto niwatunze
Eeh
Ila siwezi laumu (aah)
Huenda yupo sawa (aah)
Kipato changu kigumu (aah)
Kutwa bumunda na kahawa (aah)
Eeh
Tena mwambieni
Aloninyima mimi ndio kampa yeye eeh
Kupata foleni nasubiri yangu mimi hata ichelewe
Ooh ooh ooh
Sina furaha naigiza
Ilimradi watoto wasijhisi vibaya
Huyu mdogo anauliza
Eti daddy mama ameihama kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusema
Atarudi (atarudi mama)
Atarudi (anawapenda sana)
Atarudi (atawaletea zawadi)
Atarudi (eeh atarudi mama)
Atarudi (atarudi mama)
Atarudi (anawapenda sana)
Atarudi (atawaletea zawadi)
Atarudi
Oh my God Itis Beta Sound

No comments:

Post a Comment