Tuesday, December 3, 2019

Hazipo Nandy

Yeah aah aah aahaah mmh
Ringtone on this beat
Uzuri wako mashallah
Na macho yako ndo balaa
Sauti yako noma sana
Na mwendo wako ndo balaa
Ni miujiza moto faya
Uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya
Nuksi huko nyumbani
Ni miujiza moto faya
Uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya
Nuksi huko nyumbani
Mi hazipo
Hazipo
Kwa ajili yako mwenzio mi hazipo baba
Hazipo
Akili mi hazipo bwana
Hazipo
Kwa ajili yako mwenzio mi hazipo baba
Hazipo
Ayaah aah eeh yee iyeye iyeye
Stimu nyingi kichwani akili zangu baba aah aah
Sijitamani nifikirie sana aah
Usinipe maruhani me moyo utaamaa na
Na mashetani yanapenda kwa manaa aaah
Ni miujiza moto faya
Uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya
Nuksi huko nyumbani
Ni miujiza moto faya
Uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya
Nuksi huko nyumbani
Mi hazipo
Hazipo
Kwa ajili yako mwenzio mi hazipo baba
Hazipo
Akili mi hazipo bwana
Hazipo
Kwa ajili yako mwenzio mi hazipo baba
Hazipo
Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo
Penzi la supu baba
Ukieka nazi hatari mzigo
Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo
Penzi la supu baba
Ukieka nazi hatari mzigo
Jaribu kuwa smart nipe mahabati tu japo kidogo
Mie wazimu baba kichwani mwangu mwenzio hazipo
Mwenzio mie hazipo
Hazipo
Kwa ajili yako mwenzio mi hazipo baba
Hazipo
Akili mi hazipo bwana
Hazipo
Kwa ajili yako mwenzio mi hazipo baba
Hazipo ooh yeah
Hazipo ooh yeah
Hazipo ooh oh wee
Ringtone on this beat

No comments:

Post a Comment