Verse one :
mmh umenipikutisha umeniacha kama bwege
umenipa ugonjwa kama ule degedege
mmh sina hata sumni yakununua chipsi zege
eh nikianza kulia machozi yanajaza debe (debe)
imani na hitaji la moyo wako sikulijua
kumbe kwangu ulitaka kipato ukakimbia
anh ulivo pata kile ukitakacho ukazingua (wewe)
kumbe tapeli wamapenzi misikujua (aii wee)
Bridge :
wema sura wa moyo wangu mama ndie
uliniacha mimi njia panda
umeondoka na moyo wangu mama aanh
wakati mwenzako nilisha kupenda
ulipenda kuforce hatakama sitaki
yani bando lako lakutumia unataka laki anh
umeisha nifirisi eti aunitaki
sawa mwanakwenda minitapata mungu akipenda
chorus:
Kwa raha (sawaa)
kwa raha zako
kwa raha (ponda tuu malizangu wedada)
iyee kwa raha (aya yaa yaa)
kwa raha zako (kufakwaja)
kwa raha (atanilipia mungu baba bababaa)
iyee kwa raha kwa raha zako
kwa rahaaaa
Verse two:
ona sasandu umeniachi mdeni
wayule mama sikudhani
kumbe ulikopaga rosheni {naumbuka huku}
umetupa jiwe gizani kisha limenipata mimi
wembona hunashukurani {naumbuka huku}
kichwa boga zuga zuga
mpaka daga nashindwa kukopaa eeh
madeni uliyo niachia nashindwa kulipaa enh
Bridge :
wema sura wa moyo wangu mama ndie
uliniacha mimi njia panda
umeondoka na moyo wangu mama aanh
wakati mwenzako nilisha kupenda
ulipenda kuforce hatakama sitaki
yani bando lako lakutumia unataka laki anh
umeisha nifirisi eti aunitaki
sawa mwanakwenda minitapata mungu akipenda
chorus:
Kwa raha (sawaa)
kwa raha zako
kwa raha (ponda tuu malizangu wedada)
iyee kwa raha (aya yaa yaa)
kwa raha zako (kufakwaja)
kwa raha (atanilipia mungu baba bababaa)
iyee kwa raha kwa raha zako
kwa rahaaaa
No comments:
Post a Comment