Tuesday, December 3, 2019

ALIKIBA - MVUMO WA RADI

Intro :

Mh!!!

Verse 1:

Naannza na hii sifa yangu mpweke/
nisifa mingi na mkwezi misina makuzi/
nitakupenda wewe/
nitampenda mama/
na baba yako na ndugu zako /

Pre Chorus :

nitakupa mapenzi mimi/
 wavumbulee  vumbulee/
hujawahi pewa/
wavumbulee  vumbulee/
Nataka usikie /
Kaa mvumo wa radi/
Tatizo lako Sheri unanistahajabisha /
Unavonipendaga kweli roho inaniuma/
Wivu naona, Minaumia /
Im in love wewee/
Nampenda  Sana/

Chorus :

Tupendane Tupendane /
Penzi liwe sawa sawa/
Isiwe nusu na robo kwa kilo /
Penzi robo yengine yaende kule/
Nataka yote mapenzi kwa kilo /
Anh Tupendane Kama mapacha na mama
Na mama......

Hook up :

Tupendane bakongo
Tanzania Uganda Kenya
Burundi na Rwanda
Na Zambia mpaka
Mozambiki Ghana mpaka Nigeria /
Kameruni Sudani mpaka Somalia
Africa Africa nzima tupendane/

Chorus :

Tupendane Tupendane /
Penzi liwe sawa sawa/
Isiwe nusu na robo kwa kilo /
Penzi robo yengine yaende kule/
Nataka yote mapenzi kwa kilo /
Anh Tupendane Kama mapacha na mama
Na mama nasiku zote tuishi Kwa furaha

Verse 2:

Enh tuishi kwa furaha tupendane
uwewangu wa moyoni
Ukisikia homa hile homa ya jiji niwewe /
Wanao jiita masponser my love
Wasikuzingue/
Wanajiona maboss Lady
You're my boss baby
Tena wife material my hny burn /
Hnyburn una banaa
Wengine wote wanaachia Ayaa ayaa
Pre chorus :
Wavumbule wavumbule {x2}
Nitakupa mapenzi mimi/

Chorus :

Tupendane Tupendane /
Penzi liwe sawa sawa/
Isiwe nusu na robo kwa kilo /
Penzi robo yengine yaende kule/
Nataka yote mapenzi kwa kilo /
Anh Tupendane Kama mapacha na mama
Na mama nasiku zote tuishi Kwa furaha

No comments:

Post a Comment