Look around brother
Choir Master
Ghetto Gospel (yes)
Keeping the good music alive
Choir Master
Ghetto Gospel (yes)
Keeping the good music alive
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh (mfalme)
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa kaziba nyufa
Namwiita ye mfalme
Mfalme
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh (mfalme)
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa kaziba nyufa
Namwiita ye mfalme
Mfalme
Holla at ya boy
Sinung’uniki sina viatu wenzangu hawana miguu
Hawalalamiki wanamshukuru Aliyejuu
Siwezi nikamletea makuu maombi ya kibraza du
Mbwembwe za kuomba magari nawaachia son I’m cool
Kama kipande cha kwanza cha mbao kwenye safina
Mimi ni kitu cha Mungu nafanya alichonituma
Kanipa ubongo na misuli na roho ya kitajili
Sina kitu ila sina roho mbaya tunaishi vizuri
Fukara nayeshukuru au tajiri nisiyekufuru
Najua bata najua hustle mi ni njiwa na kunguru
Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla hujamuomba utajiri
Naishi kwa mapenzi yake hakuna kitu naona hatari
Unapata ulichoandikiwa Mungu hakupi kama hataki
Hata ukipora itapotea ili mradi yatimie maandishi
Mi ndo vito wa kolioni vitu vinaisha my way
Nife nikiwa muumini na everything gon’ be I man

Najua ana mipango anafungua milango
Ndo anatoa michongo namwita Mfalme Wa Jungle
Boss wa dunia yangu kanipa nguvu na ubongo
Mwenye maamuzi ya mwisho angetaka angeniumba fungo
Mafala wana midomo ka vicheche usiwe kati yao
Wanaosema wenzao rudi angalia maisha yao
Wengine hawana hata kalaki wanaita wenzao maskini
Haki nawaombea mabaya kama wanavyoniombea mimi
Ni hata mtoa wa roho ni malaika na nahisi ataenda peponi
Achia kuhukumu sio kazi yako we ni mwenzangu na mimi
Na una dhambi kama mimi na hatujui kubwa za nani
Labda zako labda zangu sio kazi yetu ni ya Maanani
Usiniwaze sana mi nawaza maisha yangu
Sina hata mia ya urithi vyote hivi ni vya kwangu
Nshaenda shule bila viatu nshatoa funza kama buku
Na ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela zangu

No comments:
Post a Comment