Tuesday, December 3, 2019

Nandy Ft. Sauti Sol – Kiza Kinene

Kimambo on the beats
Kiherehere kimeniisha
Leo nimekuwa simulizi kwa penzi wako
Waninanga wee
Zaidi yanisikitisha
Eti nimekuwa chuma chakavu
Roho ipo juu ya mawe
Jikoni kwangu kaingia mdudu gani
Mara kwenye kikombe mara sahani
Ona katibua maji kisimani
Ooh salala
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
Masala
Nimezidisha chenji kimeota nyasi
Mbagala
Nilipita dirisha nafasi kuigombania
Ah baba
Kumbe basi limejaa na mlango upo
Haioni mboni yangu (kiza kinene)
Kibatari utambi umetumbukia (kiza kinene)
Yaila ghidira yangu (kiza kinene)
Nimepekechwa nguzo niliyoegemea (kiza kinene)
I’ve been trying not to diss you
Mwenzako mimi nilikuwa sina issue mpenzi
Hope uko sawa my darling
And I’ve been trying not to miss you
Ila unapoenda kutwa yangu maumivu
We yangu dawa ooh ooh
Chumbani kwangu kaingia kunguni gani
Mara kwenye kitanda mara kwa shati
Aii, haya ni maruhani
Yanafanya nakosa amani
Ooh salala
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
Masala
Tushazamisha meli yameisha
Mabega
Nitaambia nini waingo mukhana tire na
Ingababwa
Nina mafeelings ingawa sijiwezi
Hayaoni macho yangu (kiza kinene)
Koroboi utambi umetumbukia (kiza kinene)
Yaila ghidira yangu (kiza kinene)
Its never gonna be the same
No no no no ooh (kiza kinene)

No comments:

Post a Comment