Tuesday, December 3, 2019

Ninogeshe Nandy

Emma The Boy on the beat
Ai ni wewe ubavu wangu mwenyewe
Ukifa nizikwe na wewe nikifa uzikwe na mie
Oh baby wee
Ninogeshe ninogeshe baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe ninogeshe baby
Baby ninogeshe
Aah kwachukwachu kushea na watu sitaki
Ooh baby
Boda boda yangu vipi nipande mishikaki
Siwezi
Basi ninogeshe ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Unanipaga furaha hivi
Ukiniacha utanipa jaka la roho
Nipe mimi kwingine we useme no
Shinde ibilisi kwenye kichwa chako oh oh oh
Mi mwenzako mkiwa baba
Mkiwa wa wapenzi baba
Usinione nalia sana
Nalilia mapenzi
Mi mwenzako mkiwa baba
Mkiwa wa wapenzi baba
Usinione nalia sana
Nalilia mapenzi
Chochote utachoniambia (sawa)
Mimi nitaridhia baba
Hata ukiwa mbali nitasubiria
Ah basi ninogeshe ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Tusiwe Tyson na Evander kisa kosa
(Kupendana na wewe)
Presha kupanda kushuka kisa nini
(Kupendana na wewe)
Mi mwenzako nakupenda nafurahi
(Kupendana na wewe)
Nivike pete ya roho isiyotoka mmh
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu
Raha
Raha tupu kupendana na wewe raha tupu

No comments:

Post a Comment