Tuesday, December 3, 2019

Nilikataa Top Band ft Mr. Blue


Ohh, ohhh
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Verse 1 (TID)
Uh
Walisema demu wangu
Kwamba wewe kicheche
Oh
Magari ya kifahari
Yanakupa mawenge
Oh
Kumbuka mapenzi yangu
Hakuna zaidi ya wewe
Oh
Maneno mengi
Hayavunji mfupa
Maneno ni mengi
Mwenzio siwezi
Usingizi sipati
Najuta mapenzi
Kupenda sitaki tena
Unanipa wazimu
Maringo ni yako
Yananipa wakati
Wakati uuh
Sasa mimi
Nimekubaliii we
Repeat Chorus 4x
Verse 2 (Qchilah)
Oh
Unajifanya mjanja
Oh
Kumbe bonge la mshamba
Oh
Unadaka mikwanja
Oh
Kumbe demu wa viwanjaa
Gheto usije
Demu mapepe
Full kicheche
Oh, oh
Kataya sipe
Najuta kupenda
Ulichonitenda
Yea
Uliniacha mi mpweke
Ukisubiri niteseke
Kina fulani wanicheke
Darling yeah, yeah
Repeat Chorus 4x
Verse 3 (Mr Blu)
Sikia love imegeuka glass mara tugonge cheers
Silipi kisasi na nitatoka cheers
Bora nije kwa risasi Umenishoot nishajifia
Ila moyo inanipain basi navumilia
Mbona mi nasikia halafu na bushit
Watu wakiniambia nawaona wazushi
C'mon message imefika ma please hit back
Kwangu malaika nafeel this track
Niko me na TID tunalia everyday
Hata kula sijisikii muulize hata master Jay
Niko tu saa zingine nakuwaza kila saa
Naona kama wana bana ukishine nakachaa
Ah
ukiwa haupo nakumiss
Ila siamini nikiondoka unanidis
Na nataka tuishi kwa peace
Pese mi niamini
Kukuacha sio rahisi
Repeat Chorus 4x

No comments:

Post a Comment