Tuesday, December 3, 2019

Kivuruge Nandy

Ringtone on this beat
Ulienipa maumivu mi kama nyang’au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge
Kwa marafiki mashost ukanidharau hmm
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
Oh oho ulie nipa maumivu mi kama nyang’au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge hmm
Kwa marafiki mashosti ukanidharau
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
Leo sina thamani ndo mana
Unawafata milupo ooh baba
Leo sina thamani eeh ndo mana ah
Unawafata milupo oh baba
We niache ee
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache ee)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (aaah ooh)
Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi
Hata zawadi nikikuletea hausemi asante
Tena nashea hata bila kujua we huridhiki kwa nini
Kuna wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze
Kwangu moyo we unauchanganya ah
Umekuwa kivuruge unavuruga sana baba we
Kitu gani kwako mi sijafanya eeh eeh
Ama kuna mtu mnapendana sana
Leo sina thamani ndo mana
Unawafata masista du oh baba
Leo sina thamani eeh ndo mana
Unawafata masista du oh baba
We niache ee
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona kidogokidogo)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona mi)
Nitapona mdogo mdogo nitapona
Aiyoyoiyoooh
Ringtone on this beat

No comments:

Post a Comment