Intro :
mmmmmh
Verse one:
Labda mapenzi yawaumiza roho zao
Et kwengine sipati sijiwezi
Ndo maneno wasema, Kwamba
kwako sifurukuti sijiweziii
Ivyo ivyo wanavyo sema
namimi nanyamaza kimya {Nakupenda}
ogopaa nikikuona nakuwa mkimyaa
Sina chakusema Nakupenda
Labda Sina faragha Nashuka kupanda
ila nakupenda
Mimi kwako nimjinga sinaga ujanga wache wanongonaa
Bridge:
Kama chumba midalali{aaanhnn}
Penzi letu lifike mbalii {aaanhnn}
Chorus:
Nibebe bee [nakupenda usiwe namakuu]
BabyNibebe bee [atakama nikininginiza miguu]
Nibebe bee [wanataka niwechini wao juu]
Mpenzi wee ninbebe bee {aaanhnn annnh}
Nimesiki wamekuundia na group
matusi matupu
wanakunyanyasa wanakutukana
jitoee
Usiwe mchonga vivyago utanifirisi
mwisho wasiku tukigombana ikawa hadithii
Wee kitumbo mbelembele kwa kuku na chipsi
usie acha mifupa utakuwa fisii
Bridge:
Kama chumba midalali{aaanhnn}
Penzi letu lifike mbalii {aaanhnn}
Chorus:
Nibebe bee [nakupenda usiwe namakuu]
BabyNibebe bee [atakama nikininginiza miguu]
Nibebe bee [wanataka niwechini wao juu]
Mpenzi wee ninbebe bee {aaanhnn annnh}