Saturday, December 24, 2016

unanijua unanisikia lyrics - MwanaFA




(Verse:1)
ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi
maskini jeuri ni msemo tu
Usiuweke kwenye akili
Mwanaume kuwa tajiri ni kama demu kuwa mzuri
Demu wako akiwa kwenye kioo we piga simu utafute deal
Hela hazilali so ukilala wewe tu
Na zina kasi ya kutengenezwa hazikungoji uamke mkuu
Me na make money mchana na make money usiku
Iwe kwa tai au kwa jeans me naingiza mkwanja tu
Naingiza mkwanja na jua na naingiza totoro
Mwenzangu sio unazbagua me sina nazo mgogoro
Begi mgongoni na ramani kama mzungu
kabla hujafika ulipo nshafaham my next move
Pesa ni rock me ni roho
Wana wa long time ago
Uwezi kutuachanisha
Waliodei wote wanafall
Mikuki imepotea farasi wanarudi wenyewe....
Wale waliopanda wakati wa kwenda wanaomba wafufuliwe

(Chorus)
(Usinipigie makofi utachoka mikono itauma cause utamic nyingine
unanijua unaniskia)*2
Punch line zinafuatana
unanijua unaniskia
punch line zinaongozana unanjiua unaniskia punch line zimegandana
unanijua unaniskia
 So usinipigie makofi mikono utachoka

(verse:2)
Inakera kujua majibu na watu hawayulizi kutu
We unajua sie hatujui ila kaa navyo vyote kutu
Maisha kama ubao ila ayaandikwi kwa chalk
Siwezi kukupa vyote ujue na kwangu zimebaki
Mimi ile mitego ya mission na mission kabla ya kudanja
Ya kwanza kuwa na mkwanja na ya pili kuwa na mkwanja
Namweka mungu kwanza dunia inashindwa nivunja
Nusu haramu nusu halali
Upande shehe na upande ninja
Kila bosi na bosi wake
Kama mnyonge na mnyonge wake
Mola alikupa punje na punje akawapa wengine hakutaka unyanyaswe wala
unyanyase watu wake..
Alichokupa me hakunipani vyetu tutumie wote
Ukipata nusu ina maana umekosa nusu
Na tuseme ya mpoki au masanja we hayakuhusu
Ni siku ya kwanza ya maisha yangu yaliyobaki
Hivi navyotaka iende
Huu wimbo ni man respect

repeat(chorus)

Unanijua unaniskia *2
(verse:3)
Sina mjadala na ujinga sina nafasi ya kuuweka
Umri unasonga sina muda
Mvi znasogea zitafika
Sipunguziki mimi kama bei za supermarket
Tuna uzito tofauti kama wa shuka na blanketi
Naisafisha sabuni ndo inisafishe maungoni
So usininyooshee kidole
We ni mchafu zaidi ya mimi
Wenzako hawaombi wanashukuru
Wanapenda walichopata
Omba samaki upewe nyoka
Omba upewe usichotaka

repeat(Chorus)

No comments:

Post a Comment