Saturday, December 24, 2016

ujamaa lyrics by Niki wa pili

ujamaa lyrics by Niki wa pili

Sna real!
Mona gansta!
River camp is in the building baby!
here we go

wasambaa wamesambaa twende mdumange
mapishi pwani kisiwani twende tumange
Makuruta akina mura pale mguu pande
kiboroloni gulioni shimboni mangi

hii ni history making ni kuacha majina
mzee nguruma bibi titi sista carolina
hii sindimba msondo ngoma nini barelina
vuka bara tuko R tunapanga vina
piga para suka nywele ama paka hina
kiafrika namwagika wala hofu sina
tuna move hii ni proof movie ya sarafina
iko wise ni watu white ni wezi black is deaf
beautifully crazy, chuga to mtwara, masai mara
makonde vinyago, unyago si tohara
counter si sonara, GMF FAP Jina ni AR

oloshoroo ngararumu ugali makande, yeeeah
Batiki kanga kitenge kaniki, yeeeeah
Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha

oloshoroo ngararumu ugali makande, yeaaaah
Batiki kanga kitenge kaniki, yeaaaah
Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha

wasambaa wamesambaa twende mdumange
mapishi pwani kisiwani twende tumange
Makuruta akina mura pale mguu pande
kiboroloni gulioni shimboni mangi

 Ah!
Mamangu ndo birthday yangu
Birthday yake ndo christmas kwenye maisha yangu
now roger that, roger millah, lunya milla, no ukabila
acha mila, ni uhai fly fly butterfly, we upea
hawatufai, mdonyo mi mdonyo lengai, nipe divai
mwekezaji si anasa siasa nipe uhai, mi mlipa kodi
I need a free body, madaktari wauguzi kwenye kila wodi
fanya ujamaa wa kichaga kwenye kila jiji,
sijui maktaba walimu ni kila kijiji
mapolisi politicians, time wana bargain like ... witch, magician!

oloshoroo ngararumu ugali makande, yeaaaah
Batiki kanga kitenge kaniki, yeaaaah
Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha

oloshoroo ngararumu ugali makande, yeaaaah
Batiki kanga kitenge kaniki, yeaaaah
Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha

kunywa bia no dear ama bia lulu
no fear sina ubia kama biankulu
makuburu wakafeel na wakataa kimbulu
akili zikiwa nyingi ndo unakuwa huru

wasambaa wamesambaa twende mdumange
mapishi pwani kisiwani twende tumange
Wakuruta wakina mura pale mguu pande
kiboroloni gulioni shimboni mangi

afikiri kuwa mkubwa tu ni kufungua zip
kuwa mkubwa yamaanisha kuwa deep
na drip ya ku run injili ya mwana yosefu
na mwana mariamu jesus ni'feel safe
na pata free, kuwa free, free yourself
na wakosefu ukiwahofu unawatukuza
makofi hayawakuzi watoto yatawaumiza!
wassup!

oloshoroo ngararumu ugali makande, yeaaaah
Batiki kanga kitenge kaniki, yeaaaah
Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha

oloshoroo ngararumu ugali makande, yeaaaah
Batiki kanga kitenge kaniki, yeaaaah
Takwenya-shimboni kamwene-urewedi
kiujamaa kama azimio la Arusha

No comments:

Post a Comment