Saturday, December 24, 2016

sugua gaga by Shaa

(verse1)

Wewe nyambonde mimi nyasumi
Matatizo yetu hayafanani
Wewe nyambonde mimi nyasumi
Matatizo yetu hayafanani
kama una shida unamwambia nani
Watu wanacheza mambo hadharani...
kama una shida unamwambia nani
Hata me za kwangu nimeacha nyumbani
Hatufanani
Hatulingani
Jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio mkono kiunoni
Wote Jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio mkono kiunoni
Tufanane

Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala

(chorus)
 Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
Njoo tuzisahau shida
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
Njoo tuzisahau shida

Kama kucheza tunacheza wote
Njoo tuzisahau shida
Kama kuimba tunaimba wote
Njoo tuzisahau shida
Kama kucheza tunacheza wote
Njoo tuzisahau shida
Hata kuimba tunaimba wote
Njoo tuzisahau shida

(verse2)
Sina gari na nyumba ila wema nnao
Sina gari na nyumba ila wema nnao
Unataka kushindana na mimi
huwezi
Maisha yangu uswahilini
Siishi mbezi
Unataka kushindana na mimi
huwezi
Maisha yangu uswahilini
Siishi mbezi

(bridge)
Hii ni serikali ya kiswazi bibi tunakaba jiko tunakaba choo
Hakuliki wala hakuendeki
Wao wana dollar mmh si tuna visenti
Inakuhusu usije ukangoka meno sababu ya uchu

Kwanini usipende
Kwanini usiende
Kwanini usicheze
Kwanini usipende
Kwanini usiende
Kwanini usicheze

Wengine chakara chakara
Mashetani yamepanda
Ameshika usinga kanasa kwenye kibanda
Wengine chakara chakara
Mashetani yamepanda
Ameshika usinga kanasa kwenye kibanda
kibanda kibandaa

(chorus)
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
Njoo tuzisahau shida
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
Njoo tuzisahau shida
Kama kucheza tunacheza wote
Njoo tuzisahau shida
Kama kuimba tunaimba wote
Njoo tuzisahau shida
Kama kucheza tunacheza wote
Njoo tuzisahau shida
Hata kuimba tunaimba wote
Njoo tuzisahau shida

Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga
sugua gaga

Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala

Heri kuwa na pengo kuliko jino bovu
alama ya mguuni sio kovu
ni hayo tu

No comments:

Post a Comment