likiba-mapenzi yana run dunia lyrics
Sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenza lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye.. mimi na yeye kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa najua mwanamke akipenda, huwa...kapenda kweli mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run duniaaaa mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run duniaaaa feel free to love feel free to love wajua kuna waliobadilisha dini na yote sababu ya kupenda na kuna waliokimbia... hii dunia... sababu hiyohiyo kupenda yule alikupenda sana, ninajua na mambo mengi umefanya ilala Best wangu nilimpendaaaa.. umefanya mpaka sasa kajiua fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye.. mimi na yeye kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa najua mwanamke akipenda, huwa...kapenda kweli mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run duniaaaa mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run duniaaaa feel free to love feel free to love
No comments:
Post a Comment