(Verse1)
Penzi ni kitu ambacho kinaweza kukupa furaha maishani mwako
Vilevile penzi linaweza kukupa huzuni milele moyoni mwako
Ukashindwa kuelewena na ndugu rafiki hata wazazi na wako
Utakosa raha ya maisha hata kama una pesa
Utalala viungo vyako
Kimawazo utakesha

(Chorus)
Sumu ya penzi ukishailamba
Hata kwa maziwa huwezi kupona
Sumu ya penzi ukishailamba
Hata kwa maziwa huwezi kupona
Sio kwamba me nakukataa ila moyo wangu unasita
Wazazi wangu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka

(Verse2)
Ulinimwaga kama mchele kuku wanidonoe mimi
Ukanifunga mpaka kitanzi nani aniokoe porini

Right nngejua kuna dawa ya penzi
Ningejifunga nisipende
Maana mapenzi kwangu yamekuwa shubiri
Kwa wenzangu ni tende

Sihitaji mapenzi na we
Me sitaki mapenzi na we
Ooh baby naomba unielewe
Sihitaji sitaki mapenzi nawe
Me sitaki mapenzi na we
Ooh baby naomba unielewe
Sihitaji sitaki mapenzi nawe
Nachoweza kusema sihitaji mapenzi na wewe

Mapenzi na we weee hii iii
Nachoweza kusema sihitaji mapenzi na wewe
Nachoweza kusema sihitaji mapenzi na wewe
Mapenzi na we weee hii iii
Sio kwamba me nakukataa ila moyo wangu unasita
Wazazi wangu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka
Sio kwamba me nakukataa ila moyo wangu unasita
Wazazi wangu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka
Wazazi wangu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka
Sio kwamba me nakukataa ila moyo wangu unasita
Wazazi wangu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka
Sio kwamba me nakukataa mimi
Wazazi wangu watanishangaa mimi
Sio kwamba me nakukataa mimi
Wazazi wangu watanishangaa mimi
Wazazi wangu watanishangaa mimi
Sio kwamba me nakukataa mimi
Wazazi wangu watanishangaa mimi
Belle9 rocka tz record
Niko na twiss ooh
Niko na twiss ooh
still love this song from +254 CODE kENYA
ReplyDelete