Friday, April 21, 2017

Kidela Lyrics By Abdu Kiba

Muuogope mungu. {kidela}. 

Dunian mapitooo.  {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee  chungaaa saaanaaaaa
Muuogope mungu. {kidela}. 
Duniaa  mapitooo.  {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee  chungaaa saaanaaaaa
Azootooo Azootooo Azootooo
Azootooo Azootooo Azootooo
Teenda wema uwendeezakooo  usingoje malipoo 
hii dunia sio  yako  woooo woooo. 
{kidela}.  kuishiii nawe. miakaa. 
yoote sisi kama ndugu zaaako
 ukaiaibishaaaa nafsi yakoo woooo wooo. 
{Kidelaa}.  binadam aonekan mwema paka wemaa 
wayasemeee memaa 
kutulipa yakoo memaaa uliosemaaaa kwetu si memaaa 
kutusemaa kila koona unayookwenda  sisi si  wemaaaa. 
Kuishii nawe miakaa  yootee  tulichovuna nawe ulivunaa hii.
Dunia si mbayaa. 
{kidela} walimwengu.
ndio wabaya.
{kidela} hii. Dunia si mbaya 
{kidela}. Binadam.   
Wabayaaaaaaa. 
Muuogope mungu. {kidela}. 
Dunian mapitooo.  {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee  chungaaa saaanaaaaa
Muuogope mungu. {kidela}. 
Duniaa  mapitooo.  {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee  chungaaa saaanaaaaa
Azootooo Azootooo Azootooo
Azootooo Azootooo Azootooo
Jeuuriii. Ya nini. Soteee  tuko chini ya juaaaa. 
Ubabe wa nini ata wepia umezaliwaaa.
Ungejizaaa  mwenyewe. Apo sure.
Kijana  chungaaa  saaanaaa. 
Kamaaa we Mnyama. me. 
Mnyama  pia.  Zaaa wako.
Umpangiee.  sheriaa.    Binadam. Aonekan mwema paaka weema.
Wayasemee  mema. Kutulipa yako. Memaa uliofanyaa.  kwetu.
Si memaaa. Kuiishiiiii. Nawee. Miakaa yootee.
Tulichovuna. Nawee ulivunaaa.  
Hii. Dunia. Si mbayaa. {Kidelaa}. Binadamu wabayaaa {kidelaaa}
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa} 
Walimwenguu wabayaaaaaaaaa
Muuogope mungu. {kidela}. 
Dunian mapitooo.  {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee  chungaaa saaanaaaaa
Muuogope mungu. {kidela}. 
Duniaa  mapitooo.  {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee  chungaaa saaanaaaaa
Azootooo Azootooo Azootooo
Azootooo Azootooo Azootooo
Wangapi walikuwepoo. Atunaooo. Atunaoooo tenaaaa. 
Duniaa mapitoo mapitooo woo woo woo.
Dunia yakoo ya moyoniii. Heyyyyy. 
Bebeyy eeeeh mapitooo woo woo. 
Dunia ya mollah aaaayeeeeee.  
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguuu.          {Kidelaa}
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguuu wabayaaaaaa.    Mamaaa key. 
Hii. Duniaaaa yawenywwa mwenyeweee.  Si ya. 
Mtu furan  labda  furan. 
Duniaa duniaa mapitoooo.
Duniaa si mbayaa walimwenguu wabayaa. 
Inauma sana kumizwaaa mtimaa. 
Inaniumaaa sanaaa.
Kujuaa binadamuu waleooo wanavyoishiiii. 
Inaumaa sana kubainii utuu. 
Chungaa sana single long single noumoo. 
{Kidelaaaa}

Wednesday, April 12, 2017

navy kenzo ft alikiba lini lyrics


Verse 1 (Aika) :
Nakuthamini kama dolla
Wala usije nichora
Ukaniletea ukora.....
Chochote unachotaka we hu decide
Kwenye mabaya we huni guide
You're my baby can't deny
Baby hmm

(Eeeh)
You got my spirit to rise I'm popping
(Eeeh)
She like a ride to the heavens I'm a puppet X2

Chorus:
Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi)
Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love)
When you wanna fall in love with somebody
When you wanna get a lot with somebody


Verse2(Alikiba)
Atokee kwa bibi
Amfunge vikali
Akipasi maujanja baby
Na me nitamkubali eh
Amfunze maujanja (ujanja ujanja)
Asiende kwa mganga(mganga mganga)
Nimejawa na ma lover lover
Hakuna expire
Nitalinda na kulea lea
Kama mtoto wa jana
Nimejawa na ma lover lover
Hakuna expire
Nitalinda na kulea lea lea lea Leeee..
Chorus:
Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi)
Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love)
When you wanna fall in love with somebody
When you wanna get a lot with somebody




Verse3(Nahreel):
Kuna siri kubwa juu yako na mimi
Kukupata mpaka kuwa wangu my queen
Nikikuzima me tulia na mimi
Ya ndani tuyamalize chini chini
Si wajua mwanzo wako we na mimi yo
Kukupata mpaka kunijibu ndio
Nikikuzima me tulia na mimi
Ya ndani tuyamalize chini chini
Nikitaka Ile kitu baby wangu come now now now
Gimme some more baby now now now
Look at my eyes baby now now now
Sex in the morning now now now
Whine for me baby now now now
Bring it turn over
Don't blame me baby
Don't flex it baby
Don't fake it

Chorus:
Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi)
Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love...)
When you wanna fall in love with somebody
When you wanna get a lot with somebody X2

Nakuthamini kama dolla
Wala usije nichora
Ukaniletea ukora X2

Wednesday, April 5, 2017

FAR AWAY lyrics by Ali Kiba ft Chidi Benz

[Intro – Alikiba]
Haste haste, rote rote
Hasna siko, aah
[Verse 1 – Alikiba]
Do you remember ulivyokwenda safari?
Huku nyuma Ali mimi sina hali
Sio useme tu “nakupenda sana”
Roho inaniuma aah
Ukinitenda ntaumia sana
Niambie baby, aah
Slow slow baby, ni-kiss tena
Watu wanaumia aah
Ukinitenda ntaumia sana
Niambie baby, aah
[Chorus – Alikiba]
So far away
From far away
We from far away
We so far away
We so far away
From far away
We from far away
We so far away
[Verse 2 – Alikiba]
Rote rote, hasna siko
Haste haste, ndo nshasema
Rote rote, hasna siko
Haste haste, roho itaniuma
Niseme nini mimi yalishaniumiza (niumiza roho)
Kama mapenzi mi nshateswa sana
Slow slow baby, ni-kiss tena
Watu wanaumia aah
Ulivyonipenda, nshaumizwa sana
Niambie baby, aah
Slow slow baby, ni-kiss tena
Watu wanaumia aah
Ukinitenda ntaumizwa sana
Niambie baby, aah
[Chorus – Alikiba]
It’s so far away
From far away
We from far away
It’s so far away
It’s so far away
From far away
We from far away
We so far away
[Verse 3 – Chidi Benz]
Tumetoka far, far, far, far away
Mbali, kabla sina hali
Maisha ya kunywa chai na ugali
Mpaka leo twala ndama, sio bata, kila mahali
Usiniache, usikache my boo
Kabla ya kuchukua maneno kumbuka I love you
(You know that)
Hakuna kunidanganya (and you know that)
Nakupenda nakuheshimu sana (and you know that)
My love, my heart, my queen (and you know that)
Without you king never gon be seen
So usiende mbali, mbali, mbali we
Oh tumetoka far, far, far away
Mbali, mbali… mbali wee
Mbali, mbali… tumetoka far away
[Chorus – Alikiba]
It’s so far away
From far away
We from far away
It’s so far away
It’s so far away
From far away
We from far away
We so far away
[Outro – Alikiba]
Naumia inaumiza roho
Kwa maneno wanasema
Eti mimi sikufai
Unanitenda, wachawi acha wi
Hayawahusu
Midomoni mwao mejawa sumu
Na maneno ya kashfa
Na maneno mengine yakata
Kata kabisa, husikiiza
Usipende kusikiiza
Na mengine ya kashfa
Kashfa, na wengene wanapaka
Wanapakaza maneno ya sumu yanafitin

Friday, March 17, 2017

MUSIC: BARAKA DA PRINCE – ACHA NIENDE (LISTEN/DOWNLOAD)

MUSIC: BARAKA DA PRINCE – ACHA NIENDE (LISTEN/DOWNLOAD)
Baada ya ngoma ya Nisamehe ambayo alimshirikisha Alikiba kufanya poa kias chake, Baraka Da Prince ameamua kuja na hii hapa mpya kabisa ambayo kaipachika jina la Acha Niende. 
Producer wa ngoma ni Bob Manecky. Enjoy nayo kwa kuisikiliza na hata kuidownload kupitia Widget hii hapa chini.
https://www.audiomack.com/…/parfe…/acha-niende-perfect255com
https://www.audiomack.com/…/parfe…/acha-niende-perfect255com





Alikiba leo kutumbuiza kwenye SXSW Music Festival

Alikiba leo kutumbuiza kwenye SXSW Music Festival, Texas akiwa na mastaa wa Jamaica, Ayo Jay na Charly Black.
Alikiba, Ijumaa hii ataungana na mastaa mbalimbali kutoka pande tofauti za duniani kutumbuiza kwenye tamasha kubwa liitwalo, SXSW Music Festival.
Tamasha hilo linafanyika kwa siku kadhaa huko Austin, Texas nchini Marekani. Alikiba ni sehemu ya orodha iliyopendekezwa na tamasha jingine la Passport Experience (litafanyika Septemba 3, Atlanta, GA) lililoanzishwa na Akon pamoja na meneja wa Ludacris, Chaka Zulu.
Kwenye orodha hiyo, Kiba anaungana na mastaa wa Jamaica, Ayo Jay na Charly Black pamoja na msanii wa Nigeria, May D. Wengine ni pamoja na Karlon, Fully Focus na DJ WaxFiend.
SXSW Music Festival ni moja ya matamasha makubwa zaidi duniani ambalo hufanyika kila mwezi March huko Austin, Texas.
“Each year the SXSW Music Festival hosts a comprehensive mix of brand new, up-and-coming, international, and legendary artists performing in bars, clubs, parks, churches, hotels, and just about everywhere else you can imagine around Austin, Texas,” yanasema maelezo yake.




Tuesday, March 14, 2017

Alikiba amefunguka kwa kukanusha taarifa ambazo zilizagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ana mpango wa kufanya kolabo na Justin Bieber.
Akiongea na mtangazaji wa JEMBE FM JJ akiwa Las Vegas Marekani, Alikiba alidai taarifa za kwamba ana mpango wa kufanya kolabo zitungwa na mashabiki wake wa muziki.
“Ni mashabiki waliamua kuzusha, kwa hiyo ni vitu vya uzushi havina maana,” alisema Alikiba.
Pia muimbaji huyo alidai hana mpango wakufanya kolabo na Wizkid kwa sasa lakini ukifika muda na akipata nafasi anaweza kufanya hivyo.
Baraka Da Prince ni msanii ambaye alikuwa akionekana kuwa karibu sana na msanii mwenzake Alikiba .
Perfect crispin imeamua kupiga story na meneja wao katika lebo ya Rockstar4000 Seven Mosha
“Hamna distance baina ya Baraka na Alikiba, katika lebo yetu kila msanii anajitegemea, Baraka hivi sasa  yuko katika harakati za kumaliza album yake, pia ana shows zake ambazo anapiga ndio maana hamuoni ukaribu.” ALisema Seven Mosha.