Baraka Da Prince ni msanii ambaye alikuwa akionekana kuwa karibu sana na msanii mwenzake Alikiba .
Perfect crispin imeamua kupiga story na meneja wao katika lebo ya Rockstar4000 Seven Mosha
“Hamna distance baina ya Baraka na Alikiba, katika lebo yetu kila msanii anajitegemea, Baraka hivi sasa yuko katika harakati za kumaliza album yake, pia ana shows zake ambazo anapiga ndio maana hamuoni ukaribu.” ALisema Seven Mosha.
No comments:
Post a Comment