Kila siku mi naumia na mawazo wapi nitampata mkee mwema maishani
Najifuta machozii
Nikasahau nilivyo tendwa zamani
Naona kama ngege waa moto mazuri kuwa nawe maishani
Nacho mwambia ananielewaa
Napenda animpenda Sito mwaacha asilani
Gari pesa sinaa
Ndio maana nakuita mchuba
We wa gari na nyumba ama pesa ndio chumba
Bora unieleze mchumba
Mi si mgeni wa mpenzi mwenzako
Maumivu naya tambua
Nipe nikupu ndio ishara ya upendo
Haiwezekani daily unanizingua
Nisipokuona sina raha eeh
Naumia namawazo
Sema
Kama haunipendi
Ikiwa haunipendi
Haiwezekani we daily unanizingu
We nimgonjwa na unamwitaji mtabibu
Mi ni daktari ki maradhi ntakutibu
Listen to any song with synced
No comments:
Post a Comment