Wednesday, August 31, 2016

Belle 9 - Masogange

upo mbali na masogange
njoo uutulize mtima wange
upo mbali na masogange eh

miaka mingi imepita baby, ila mi sijakuona
miaka mingi imekatika ma, ila mi sijakuona
kile kidonda changu cha mapenzi, moyoni bado hakijapona
nitapata afadhali mi, endapo we nikikuona
kama warembo mi nawaona wengi, tabia zao mi naona noma
najaribu shinda vishawishi, nisije mi kukupa ngoma

bado nakupenda wewe, wapi ulipokwenda
bado nakupenda wewe, wapi ulikokwenda

ndo maana nakuimbia popote ulipo sikia baby, urudi nyumbani
nakuimbia popote ulipo sikia mami, tuishi kama zamani

mapenzi yanautesa moyo we ,mapenzi yanaumiza moyo we
mapenzi yanautesa moyo we
njoo unipoze roho

mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
mapenzi yanautesa moyo we
Njoo unipoze roho

toka long time ago we, nakusaka mrembo we
nakusaka baby, nijue upo wapi mama

wasiopenda kuona mimi nawe, tunapeana real love ni wengi
hawapendi kuona mimi nawe, kila siku twapeana mapenzi
wasiopenda kuona mimi nawe, twapendana my baby ni wengi
hawapendi kuona mimi nawe, kila siku twapeana mapenzi

chochote watachokuambia, usiwasikilize
nakusihi mami puuzia, moyo wangu usiumize
chochote watachokuambia, usiwasikilize
nakusihi mami puuzia, moyo wangu usiumize

endapo ukiwasikiliza, moyo wangu utaumiza
endapo ukiwasikiliza, utaniacha mi kwenye kiza
endapo ukiwasikiliza, moyo wangu utaumiza
endapo ukiwasikiliza, utaniacha mi kwenye kiza haya

upo mbali na masogange, njoo uutulize mtima wangu
upo mbali na masogange, njoo uutulize mtima wangu

mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
mapenzi yanautesa moyo we
njoo unipoze roho

mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
mapenzi yanautesa moyo we
Njoo unipoze roho

upo mbali na masogange, njoo uutulize mtima wangu
upo mbali na masogange

upo mbali na masogange, njoo uutulize mtima wangu
mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
mapenzi yanatesa moyoni, mapenzi yanatesa rohoni

mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
mapenzi yanautesa moyo we
Njoo unipoze roho

mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we
mapenzi yanautesa moyo we
Njoo unipoze roho

wewe, toka long time ago
nakusaka mrembo nijue uko wapi mama ah
I love you, i need you!

No comments:

Post a Comment