Haya mapenzi naogopa sana bwana mimi, Kuamua
wakati mwingine nakosa hata raha jamaniiiii
Nani nimpende, asinizingue
Nani nimpende, asinizingue
Hivi ni nani mrembo atakayenipenda kwa dhati
Na siyo kunitamani
Mvumilivu kwenye Raha hata nikiwa na dhiki
Asinishushe thamani
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Ona bora nitulie niufaidi ujana, Kuliko kujitia kaa la roho
wangapi walipendana kuahidiana, hawatoachana mpaka kifo
wengi, wako kimaslahi, wakitimiza lengo inakuwa ulofa aiii
mapenzi yanakaba kama tai, mwisho wa siku unaweza poteza uhai
Haya mapenzi naogopa sana bwana mimi, Kuamua
wakati mwingine nakosa hata raha jamaniiiii
Nani nimpende, asinizingue
Nani nimpende, asinizingue
Nataka jiko, jiko la peke yangu mimi, si kila mjanja apikia
aje anipe raha mimi, asiwe anachakachua
niambie nimjue, nieleze ni nani mamaa
niambie ni nimjue, nieleze ni, nani nani mamaaaa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Nani nimpe dhamana, alitambue dhumuni
Mola nipe muungwana, si kama wale wahuni
Nani atanipenda mimi, iwe furaha siku zote maishani
aje aniliwaze mamii, iiiii
Nataka jiko, jiko la peke yangu mimi, si kila mjanja apikia
aje anipe raha mimi, asiwe anachakachua
niambie nimjue, nieleze ni nani mamaa
niambie ni nimjue, nieleze ni, nani nani mamaaaa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
Sababu ya Ulofaaaaaaa!
No comments:
Post a Comment