Wednesday, August 31, 2016

IZZO B ft Barnaba, Shaa - Love Me lyrics

IZZO B ft Barnaba, Shaa - Love Me

   


(VERSE 1)
Mapenzi hatujaanza juzi, long time niko nawe
naomba radhi nikikuuzi,  nahisi nimeumbwa na wewe
we barafu wa moyo wangu, acha leo niweke wazi
labda shahidi yangu mungu, nikiwatoa wazazi
nakumbuka toka shule, enzi za sekondari
baby ulikuwa pale, we ulionyesha kunijali
you're the one in a million, naapa kwa jina langu
ah Jose chamelleone, 'Sina Valuvalu baby'
Tangu izzo anaitwa Imma, we ulikuepo ulisimama
matatizo yalituandama, we hukuchoka ulipambana
we ndo maana ya mapenzi, mapenzi yanakuogopa
hawa vicheche ni washenzi, hawajui wanachotaka
ntakujali na kukuheshimu, acha woga mi bwana ako
ya kwetu jukumu letu, hayawahusu shoga zako
we ndo Alicia mi ndo Swizz, tupa mbali Jay Z, Beyonce
sharo izzie, mj beats, anayebisha shauri yake


(CHORUS)


(VERSE 2)
kama ku'cheat, nishacheat sikufichi honey
nisamehe yo my sweet honey, ni pepo sio mi
ruksa kamba we nifunge, nishatua hapa
we ni jimbo nami mbunge, nishatua hapa
mapenzi motomoto mpaka joto linaona wivu
Nikuite nani? ama mtoto, leo baby naomba kavu
we mtamu kushinda asali, hakyamungu utaniua
acha waseme mi sijali, hakyamungu utaniuaa
acha basi nikusifie, sifa ulizonazo ila..
baby usijisikie, ikawa kama chanzo
Guu lako sio la bia, baby guu la champagne
leo wazi nakuambia, hey you got that thing
midomo wet sio mikavu, ona wanaona wivu
umejazika  si sana, maana sana inaboa
hasa kwa sisi waungwana, sana inaboa
macho na hizo hips ndo nakufa kabisa

((Chorus))

No comments:

Post a Comment