Wednesday, August 31, 2016

Sajna ft Linah - Sitaki Kuumizwa

Umechagua adhabu ya kujiua
Iweje sumu umeze maziwa
Si ndo ndoto Lina acha unajua
kwa huu wimbo nakupa ukweli
Umependa mwenyewe kuwa njiwa
Wivu wa nini kwa Ng'ombe anayekamuliwa
Ukuwaridhisha wazazi kwa kuolewa
Ukaniacha mwenye upendo wa ukweli

Najua so kosa lako, Najua ni wazazi wako
Najua mi chaguo lako, Ila kwanini unikosee

Sitaki tena kuumizwa, Namimi staki kumuumiza mwenzangu

mmmhh, aaaahhh, mhhhhhhhh, mhhhhh

Kama kuvaa na kung'aa mamaa, mamaa
kwa binadamu ni sawa, na kama ukinipa salamu
wala sitoikataa
Usinigande, usinigande kama ruba
wazazi wako uliwaona wako sawa
sitaki kumuumiza huyu mwenzangu
sitaki uumize moyo wangu
Ni Sajna yule yule, na Moyo uleule
Ni mimi yule yule, Ulomtupa jongoo na mti wakeee
Ni Sajna yule yule, na Moyo uleule
Ni mimi yule yule, Ulomtupa jongoo na mti wakeee

Sitaki tena kuumizwa, Namimi staki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa, Namimi staki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa, Namimi staki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa, Namimi staki kumuumiza mwenzangu

mhhhhh
Najua sistahili kufutwa machozi
Japo sikuyasababisha mwenyewe
Najua hustahili kuendelea kutoa machozi
Japo nauumia kuona tayari una mwingine
kwa miguu yangu sikuondokaaaa
Nilisukumwa wakafanya nipoteee
Moyo wangu bado unaishi kwakooo
Huku ugenini uko mwili pekeeeee
Naumiaaaa, Naumiaaaa, Naumiaaaaaaaaaa

Najua so kosa lako, Najua ni wazazi wako
Najua mi chaguo lako, Ila kwanini unikosee
Najua so kosa lako, Najua ni wazazi wako
Najua mi chaguo lako, Ila kwanini unikosee

Sitaki tena kuumizwa, Namimi staki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa, Namimi staki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa, Namimi staki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa, Namimi staki kumuumiza mwenzangu

No comments:

Post a Comment