Wednesday, August 31, 2016

Shetta ft Belle 9 - Nimechokwa lyrics




[Belle9]
kweli ya leo sio ya jana, ona
a-to-z maumivu
kweli ya leo sio ya jana, ona
ona, a-to-z maumivu

Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Ina chochochoma!
mazoea!

Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Ina chochochoma!
mazoea!

[Shetta]
sura yako inanipa picha kamili
bila ya vitendo tayari nimeshaitabiri (((mazoea))
umekuwa mjasiri tena bonge la msiri
hata kwenye tabu hutaki tu-solve wawili
na
haifanani na kiburi bali umechokwa nami
mi sijiulizi kwanini umalaya nimeufanya dini
hata mashoga zako nawawinda niwavue bikini
mi mkauzu kama mbuzi tena mchinjia baharini
makosa yanajirudi nayote unayabaini
ushahidi mpaka sibishi jinsi ulivyo makini
machale mpaka na-doubt au unaongozwa na jini
maana umemkamata mwizi kabla ya siku arobaini
mmoja poa tu kwako si mali kitu
kama ngoma ni local mithili ya 'mchiliku'
mpaka nahisi mafala washanipiku
mkuki kwa binadamu zaidi ya uchungu wa jipu
umekuwa mvivu wa kutimba mahome
hata kwenye sex unanigomea **mpaka condom**
drama kama filamu mpaka kwenye couple
kutesa kwa zam zam man!!!

[Belle 9]
kweli ya leo sio ya jana, ona
a-to-z maumivu
kweli ya leo sio ya jana, ona
ona, a-to-z maumivu

Inaniuma nachoma, nachochochoma
Inaniuma nachoma, nachochochoma
Inaniuma nachoma, nachochochoma
Ina chochochoma
mazoea!

Inaniuma nachoma, nachochochoma
Inaniuma nachoma, nachochochoma
Inaniuma nachoma, nachochochoma
Ina chochochoma
mazoea!


[Shetta]
unasema nawapanga vigoli kama mswati
umalaya upo ndani ya damu kamwe siachi
Please! hebu nipe nafasi ku discuss
mapenzi hayahitaji kulipiziana visasi
wepesi kunijibu hautaki
route zimezidi kama dereva taxi
day after day unazidisha masharti
hata kiss la shavu hutaki mbele ya umati
natapatapa bila hata kukabwa koo
kisa si zaidi ya uchokozi sipunde utanitoa roho
sekeseke unazonipa ni zaidi ya ngoma droo
maumivu yanafanana na hukumu ya death-row
malumbano,,,vita ka CUF na CCM, Duh!
umenichoka mpaka nahisi nipo kuzimu
sometime ni shetani so inabudi tumrehemu
lets forget about past please usinitoe damu baby
you got true love mpaka najiona kavu
nipo tayari kutubu na msaafu,
ruksa nikirudia unibanike kama ndafu
Yeah, Dats wats up!!

[Belle 9]
kweli ya leo sio ya jana, ona
a-to-z maumivu
kweli ya leo sio ya jana, ona
ona, a-to-z maumivu

Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Ina chochochoma
mazoea!

Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Inaniuma nachoma, nachochochoma!
Ina chochochoma!
mazoea!

No comments:

Post a Comment