Thursday, May 26, 2016

zanto binti kiziwi

[Verse 1]
Nimpate vipi mi sijui, ninaimani mapenzi
hayajuiiihi
Nitapata ugojwa wa moyo, kwa sababu ya
mawazo
Ninavyojuwa maisha yake, hajawai kuwa na
boyfriend
Ila ni mimi wakwanza naninashindwa kumpata
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti
ninamzingua
Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu
angeujua
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti
ninamzingua
Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu
angeujua
Ningelizoe rafiki yakee basi ye
ni,ningemtumaaaa
Ningezitambua ishara zake basi mi kwake
ningefika
Ningelizoe rafiki yakee basi ye
ni,ningemtumaaaa
Ningezitambua ishara zake basi mi kwake
ningefika
[Chorus]
Si siri ninampenda binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake,ye binti kiziwi
Si siri ninampenda binti kiziwi
Kwakuwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwiiii
[Verse 2]
Nashangaa pale nampomkutaaa, akiwa
nawenzake wanaongeaaa
Huwa najiuliza mimi, wanaongea,naye vipiiii
Nashangaa napo muitaa,nahisi huwa anakata
Sijui ndio hasiki, au mapozi, au mapozi naye
Afadhali angejuae kusomae,hatachale kiumbe
ningempa
Eti kama ningejuwa isharaaa,basi kwake
ningefika mimi
Afadhali angejuwa kusomae,hata mbonge
kiumbee ningempa
Etikama ningejua isharaa,mbasi kwake ningefika
baby
[Chorus]
Si siri ninampenda binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake,ye binti kiziwi
Si siri ninampenda binti kiziwi
Kwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwi
[Verse 3]
Binti kiziwi yuko full yani yuko bombaa
Amenidatisha mnyamwezi nayake figure
Tatizo moja tu ambalo mimi hulinasibu
Kila kukicha hata inikiwaza mimi sipati jibu
Nikimwambia neno i luv you wala halijuwi
Nikimwambie neno i need you halitambui
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi
Nikimwambia neno i luv you wala halijuwi
Nikimwambie neno i need you halitambui
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi
[Bridge]
Hatakusema neno i luv youuu kwake halijui
Hatakusema neno i need youuu kwake
halitambui
Hatakusema neno i luv youuu kwake halijui
Hatakusema neno i need youuu kwake
halitambui
Baby,baby baby,booo,baby i love you
Ingawa nateseka naye, baby i need you
Baby, baby, booo(uhuu),baby i love you (uhuhu)
Baby (tuhuu) baby, i need you (uhu)
[Chorus]
Si siri ninampenda binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake,ye binti kiziwi
Si siri ninampenda binti kiziwi
Kwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwi

No comments:

Post a Comment