Thursday, May 26, 2016

rich mavoko roho yangu

[Intro]
Ayaya ayaya
Mmh
[Verse 1]
Nimekuwa kama samaki kutamani nisivyoviweza
Kama ni Tanga niliapa nioe Muheza
Na kama kama bahati mwenzenu nilishapoteza
Siku hizi ujanja ni kunywa mchuzi wa pweza
Ai haya maneno walinena wazee wa zamaniii
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Haya maneno walinena wazee wa zamaniii
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
[Chorus] x2
Maskini roho yangu mimi
Roho yangu mimi, roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini roho yangu mimi
Roho yangu mimi, roho yangu
Uniachie we nenda zako
[Verse 2]
Mmh mujini musingi kiuno
Ukishatendwa ndio bye bye
Yamsondo mumpe Ngurumo,
Hayo mengine hayafai
Mbona penzi limechacha nae
Wacha niguse niachane nae
Hasinigande nigombane nae
Hakuna mapenzi husibishane nae
Ai haya maneno walinena wazee wa zamaniii
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Haya maneno walinena wazee wa zamaniii
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
[Chorus] x2
Maskini roho yangu mimi
Roho yangu mimi, roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini roho yangu mimi
Roho yangu mimi, roho yangu
Uniachie we nenda zako
[Outro]
Mmh aah
Roho yangu mimi, roho yangu mimi
Roho yangu mama ah
Chaki chakichankula
Chaki chikichikichikuchinkolai
Aa aai aa aa ai ai aii
Chaki chakichankula
Chaki chikichikichikuchinkolai
Amri Chai
MAVOKO!

No comments:

Post a Comment