Thursday, May 26, 2016

jux uzuri wako

[Intro]
Uuuh
Aaahh
AM Record!
Uuu ooohoo
[Verse 1]
Nikiwa na wee matatizo nasahau
Kwa washika dau pesa zao nadharau
Hakuna kama we toka mwanzo mpaka now
Niko mimi na wewe huna mpango nao
Mapenzi unayonipa, yaani mpaka najiuliza
‘Hivi unaigiza?’, maana mi nakufa kabisa aah aa
[Pre-Chorus]
Napenda nikikushika ubavu
Napenda nikikushikaaa
Napenda nikiku-kiss mdomoni
You’re my baby girl
[Chorus]
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe (unanifanya nilie)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
(unanifanya nilie)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe
[Verse 2]
Walisema mapenzi haiwezi kuwa mimi nawee (mimi nawe)
Tukaona ushenzi ni bora mimi nikuoe (nikuoe)
Isifike mwisho ukaniona mimi sifai (mimi sifai)
Wanatamani kesho unimwage wakuwahi (wakuwahi)
Wana chuki na visa na zao roho
Wanasema sifai kuwa nawe
Wakija na pesa we sema no
Nakupenda umenipenda wewe
Wana chuki na visa na zao roho (yeoh!)
Wanasema sifai kuwa nawe (yeoh!)
Wakija na pesa we sema no
Nakupenda umenipenda wewe
[Chorus]
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe (unanifanya nilie)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
(unanifanya nilie)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe (unanifanya niumiee)
[Bridge] x2
Wananuna, wananuna
Nikiwa na wewe baby wananuna
Wananuna, wananuna
Nikiwa na wewe baby wananuna
[Chorus]
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe
[Outro]
Uzuri uzuri wako
Yeah!
Uzuri wako
Uzuri uzuri wako
Thank you broda
Uzuri uzuri wako
Paul
Uzuri wako
AM Records (uzuri uzuri wako wewe)
Uzuri uzuri wako
Peizon
Uzuri wako
Juva Tonny
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
I love you, baby
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe

No comments:

Post a Comment