Thursday, May 26, 2016

ruby na yule lyrics

[Intro]
Eiyeeh Ruby!
Eiiiiyeh Thomas!
[Verse 1]
Mapenzi hayana mwenyewe
Unaweza penda kijana au mzee eeh
Niite jina langu baby, uenda nafsi yangu itapoa aah aaa
Shika moyo wangu baby, unavyokwenda mbio wewe utapoa
[Pre-Chorus]
Aaahha aa!
Kuna muda namuomba Mungu angekuleta mapema oh oh ohh uu
Ila bado sio mbaya, wewe ndo unaejua maumivu yangu iii baby
Ila bado sio mbaya, wewe ndo unaejua maumivu yangu
[Chorus]
Siko radhi unitoke machoni iii iih
Tembea nami ndotonii yeahh
Ntakuweka moyoni iihi iih
Bila hofu rohoniii baby
Moyo wangu tembea na yule, na yulee
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yulee
Ndo namwamini saaana
Aaah aaah aaa aahh
[Verse 2]
Baby, sitaki kutazama nyuma tena
Mmh maumivu nilishayaona
Wengi walinipotezea muda
Mmh hakuna nilichokipata
[Pre-Chorus]
Aaahha aa!
Kuna muda namuomba Mungu angekuleta mapema oh oh ohh uu
Ila bado sio mbaya, wewe ndo unaejua maumivu yangu iii baby
Ila bado sio mbaya, wewe ndo unaejua maumivu yangu
[Chorus]
Siko radhi unitoke machoni iii iih
Tembea nami ndotonii yeahh
Ntakuweka moyoni iihi iih
Bila hofu rohoniii baby
Moyo wangu tembea na yule, na yulee
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yulee
Ndo namwamini saaana
[Bridge]
Siwezi ukabue maisho yangu
Yatanaimi ndu tell meee
Eeee eeyy eii eeii
[Outro]
Moyo wangu tembea na yule, na yulee
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yulee
Ndo namwamini saaana
Moyo wangu tembea na yule, na yulee
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yulee
Ndo namwamini saaana

No comments:

Post a Comment