Thursday, May 26, 2016

ommy dimpoz baadae lyrics

[Intro]
Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
[Verse 1]
Nampenda kama ringtone
Hana maringo, huyu binti mtam tam
Swagga zake zipo simple
Hapendi dingo, haniishi ham ham
Niko nae sina nyimbo
Nikatoa single, mpaka sasa na album
Mi mkali wa mitindo
Hategi mingle, kitandani masham sham
[Pre-Chorus]
Kila siku mi niko nae
Ila siku hizi penzi linatia fora
Hata mama na papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora
Kila siku mi niko nae
Ila siku hizi penzi linatia fora
Dem mama, dem papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
[Chorus]
Tukutane tena baadae eh, ai baadae eh
Njoo unipe tena baadae eh, si baadae eh
Usikose kuja baadae eh, ai baadae eh
Nitakungoja baadae eh, si baadae eh
Baadae eeh, niko nae ee hee
Baadae eeh, niko nae ee hee
[Verse 2]
Unang’aa bila lotion
Mkali wa fashion, baby kama umechorwa
You’ve got a temptation
Sitaki nikukose, matajiri wakanipora
Penzi langu sio boshen
Usijipe question, mimi ndiye mume bora
Wananipangia mission
Ili unitose, nimemuachia Mola
[Pre-Chorus]
Kila siku mi niko nae
Ila siku hizi penzi linatia fora
Hata mama na papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora
Kila siku mi niko nae
Ila siku hizi penzi linatia fora
Dem mama, dem papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
[Chorus]
Tukutane tena baadae eh, ai baadae eh
Njoo unipe tena baadae eh, si baadae eh
Usikose kuja baadae eh, ai baadae eh
Nitakungoja baadae eh, si baadae eh
Baadae eeh, niko nae ee hee
Baadae eeh, niko nae ee hee
[Bridge]
Raha zote kwako napata, ai napata
Umenichanganya nadata, si mi nadata
Raha zote kwako napata, ai napata
Umenichanganya nadata, si mi nadata
[Pre-Chorus]
Kila siku mi niko nae
Ila siku hizi penzi linatia fora
Hata mama na papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora
Kila siku mi niko nae
Ila siku hizi penzi linatia fora
Dem mama, dem papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
[Chorus]
Tukutane tena baadae eh, ai baadae eh
Njoo unipe tena baadae eh, si baadae eh
Usikose kuja baadae eh, ai baadae eh
Nitakungoja baadae eh, si baadae eh
Baadae eeh, niko nae ee hee
Baadae eeh, niko nae ee hee
[Outro]
Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
Churu churu churu churu
Churu churu chururaa
Churu churu churu churu
Mobenga!

No comments:

Post a Comment