Tuesday, March 22, 2016

MWANA BY ALI KIBA – LYRICS




Audio Player
00:00
00:00

Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza ona babio mamio wote wanakulilia
Mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Ndani ya Dar Es Salaame ulikuja bure
Tena kimwana kimwana hujui kuchuna
Na zile lawama za wale waliokuzoweza
Ulikuja Jana na leo tofauti Sana


Tena bora yule wa Jana wa leo tofauti sana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
Tena bora yule wa jana wa Jana leo wa Jana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma oyayee
Mbona unawatesa sana
Omamee omamee
Omamee yaya mamee omamee omamee
Mbona unajitesa sanaa omamee omamee
Omamee yaya mamee omamee omamee
Omamee yaya omamee
Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana
Ndani ya Dar Es Salaam mambo mataam hayakukuisha
We bado mtoto kwa mama hujayajua mengi
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambara bovu
Kuna asali na shubiri ujana giza na nuru
We mwana wewe mwana mwana jeuri sana
Ulichokifuata hukupata umekosa ulivyoachaa
Kwa baba yako mwana na mama yako mwana
Kwa vichache ulivyovitaka ni vingi ulivyoachaa
Oyayee mbona unajitesa sana
Oyayee omamee
Omamee ayamamee omamee omamee
Mbona unawatesa sanaa omamee omamee
Omamee ayamamee omamee omamee
Omamee ayamamee
Right Man Walter chicks vallo combinega
Pertio loso guitar unaleta lawama
Wewe unaleta lawama unaleta lawama
Wewe unaleta lawama ayee we mwana uwoo
Uchungu wa mwana aujuae mzazii siku zote milele
Analia ooh kutwa nzima analalama iyee obaba mama yako
We mwana rudiee watafurahi wakikuona umerejea salama
Omamee omamee omamee ayamamee (×4)
Omamee

No comments:

Post a Comment