Tuesday, March 22, 2016

Ali kba Mali Yangu Lyrics




Chorus
Kama ni makosa kupendelea moyo wangu
huchagua Hayo yote nisiumize moyo wako
Pia ujumlishe na yale yale yale
Mapenzi matamu ya kama halua ya ...?
bali yangu yaliwa
Verse 1
Mapenzi matamu ya wawili mashallah
Walio pendana kwenye hii dunia
kama adam na hawa
Kwa hii hali mi sijali nivumilie ntazoea Kukonyeze titi?
na kujiamini kunisaliti si hatari
Kiota changu cha moyo ni zawadi Zinukie
hisia zangu kwako kama ua ridi
Nishaumizwa sana kukinyesha mvua baridi
Kwa jinsi ulivyo utesa staki urudi .
Tell molina ali naumia, ali naumia,
mapenzi Tell molina ali nateseka, ....
Repeat Chorus
Verse 2
Pendera, hupendi karaha Nami sinyora,
nikose raha Unantia hasara, kula kulala Na garagara, unaniumiza roho You my friend na
uliniumiza roho Kila weekend uko busy na hayo Unayoyapenda ya kuuza sura Nilisha?
nunua eti unapenda Kutenda kwa yale yote unayo jiskia Baby kwanini mateso, mateso,
mateso, mateso ya roho
Wengi wanasema usiniumize roho
Repeat Chorus
Verse 3


No comments:

Post a Comment