Tuesday, March 22, 2016

CINDERELLA BY ALI KIBA lyrics

ooah uuh uuu uuuuh yahee yaheee ooah uuh uuu uuuuh
Mara ya mwisho mi na wewe kuonana kipindi kile twasoma
Shule ya msingi kigoma yahee yahee
Najua ulinipenda ila hukutaka penzi kulilinda ungesema mapema iliniuma sana
Mimi leo niko Dar aliye nipenda nisha muoa
Je wataka kumjua jina aitwa Cinderella
Rudi home wewe rudi nyumbani wasalimie Kigoma waambie nishaoa
Ulinitesa sana sababu nilikupenda wajua kijijini kwa bibi Kigoma iliniuma sana
Mimi leo niko Dar aliye nipenda nisha muoa je wataka kumjua jina aitwa Cinderella
Rudi home wewe rundi nyumbani wasalimie Kigoma waambie nishaoa

Hakuna ajuaye rangi ya kinyonga zaidi ya yeye mwenyewe na Muumba
Nami nakujua wewe huwezi ringa baby baby
Nakuona umnyonge sana nami nilikua hivyo kule Kigoma
Usilie kwa uchungu bwana imekutouch sana
Mimi leo niko Dar aliye nipenda nisha muoa
Je wataka kumjua jina aitwa Cinderella
Rudi home wewe rudi nyumbani wasalimie Kigoma waambie nishaoa
Ulinitesa sana sababu nilikupenda wajua kijijini kwa bibi Kigoma iliniuma sana
Mimi leo niko Dar aliye nipenda nisha muoa je wataka kumjua jina aitwa Cinderella
Rudi home wewe rundi nyumbani wasalimie Kigoma waambie nishaoa
Uliniahidi mapenzi ni kweli uliniteka ah
Kadiri usiku ulivyozidi baby ukanitesa ah
Mamy mara uko busy mamy mi mshamba wa mapenzi si ndio waka share nami yo
Kila napokuona ninapokuona moyo unazima nakumbuka tu Kigoma
Nakosa raha mwenyewe si unaniona ila Cinderella kapoza moyo kuchoma
Mh mi nachoka haki ya Mungu ingawa ni gangster baby najua machungu
Ningependa kuwa nawe ningetaka kuwa nawe ningetaka kuishi nawe
Ila tu mi nimesha baini yeah hiyo ni true ma
Nishapata mwingine ambaye ananifaa ma yeah
Ulinitesa sana sababu nilikupenda wajua kijijini kwa bibi Kigoma iliniuma sana
Mimi leo niko Dar aliye nipenda nisha muoa je wataka kumjua jina aitwa Cinderella
Rudi home wewe rundi nyumbani wasalimie Kigoma waambie nishaoa

No comments:

Post a Comment