Tuesday, March 22, 2016

CHEKECHA CHEKETUA BY ALI KIBA – LYRICS

Audio Pla
00:00
00:00

Jamaniii mi nataka saule kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo
Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule
Wanao nitaka ni wengi ila mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Aya chekecha
Chekecha (x11)
Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke
Masia Uluso kitaa Abu Daddy
Penzi alinipa mama nami leo nakupatia tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna
Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia nami ntalia na wewe mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Aya chekecha
Chekecha (x11)
Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke

No comments:

Post a Comment