Tuesday, April 3, 2018

Binti kiziwi zanto lyrics

Nimpate vipi mi sijui
Nina imani mapenzi hayajui
Nitapata ugojwa wa moyo
Kwa sababu ya mawazo
Ninavyojuwa maisha yake
Hajawai kuwa na boyfriend
Ila ni mimi wakwanza naninashindwa kumpata
Kwa ishara inaonekana nampenda
Yeye eti ninamzingua
Eti ingelikuwa anaskia
Basi ukweli wangu angeujua
Kwa ishara inaonekana nampenda
Yeye eti ninamzingua
Laiti angelikuwa anaskia basi ukweli wangu angeujua
Ningelizoe< rafiki yakee basi ye ni,ningemtumaaaa
Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika
Ningelizoea rafiki yake basi ye ni,ningemtumaaaa
Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika

Si siri ninampenda
Binti kiziwi
Moyo wangu ameuteka
Binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake
Ye binti kiziwi
Si siri ninampenda
Binti kiziwi
Kwakuwa moyo wangu ameuteka
Binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo
Kwake binti kiziwi

Nashangaa pale nampomkutaaa
Akiwa nawenzake wanaongeaaa
Huwa najiuliza mimi
Wanaongea naye vipi
Nashangaa napo muitaa
Nahisi huwa anakata
Sijui ndio hasiki
Au mapozi au mapozi naye
Afadhali angejuae kusoma
Hata Tale ujumbe ningempa
Eti kama ningejuwa isharaaa
Basi kwake ningefika mimi
Afadhali angejuwa kusoma
Hata Bonge ujumbe  ningempa
Laiti kama ningejua ishara
Basi kwake ningefika baby

Si siri ninampenda
Binti kiziwi
Moyo wangu ameuteka
Binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake
Ye binti kiziwi
Si siri ninampenda
Binti kiziwi
Kwakuwa moyo wangu ameuteka
Binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo
Kwake binti kiziwi

Binti kiziwi yuko full yani yuko bombaa
Amenidatisha Mnyamwezi na yake figure
Tatizo moja tu ambalo mimi huwa linasibu
Kila kukicha hata inikiwaza mimi sipati jibu
Nikimwambia neno I love you wala halijui
Nikimwambie neno I need you halitambui
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona binti kiziwi
Nikimwambia neno I Iove you wala halijuwi
Nikimwambie neno I need you halitambui
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi

Hatakusema neno I Iove you kwake halijui
Hatakusema neno I need you kwake halitambui
Hatakusema neno I Iove you kwake halijui
Hatakusema neno I need youuu kwake
halitambui
Baby,baby baby,booo,baby I love you
Ingawa nateseka naye, baby I need you
Baby, baby, booo(uhuu),baby I love you (uhuhu)
Baby (tuhuu) baby, I need you (uhu)

Si siri ninampenda
Binti kiziwi
Moyo wangu ameuteka
Binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake
Ye binti kiziwi
Si siri ninampenda
Binti kiziwi
Kwakuwa moyo wangu ameuteka
Binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo
Kwake binti kiziwi

No comments:

Post a Comment