Thursday, February 11, 2016

Usiende mbali bushoke ft Julian

Usiende mbali

Juliana
Verse 1
Beka unavyo beka kama mtoto
Natakubembeleza mimi wako
Nita zidi kukupa vitu moto moto
Mapenzi kupendana sii mchezo
Nakusihi usihi usijilezu mimi solema
Nahisi na mimi sisijapata ku solema
Tunavyo ishi wanandhani tunadanganyana
Sii rahisi amini mimi na wewe tukatengana
Chorus 2x
Usiende mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usotoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Verse 2
Tangu niko na wewe ni furaha
Kukosa tosa nikaraha
Na wewe siwezi ishi
Nakuhisi sio mbishi
Wanapiga misels kila mara
Wanatimua mavumbi sisi twala
Wanaotaka mapinduzi na mapinduzi hawayawezi ooh
Naumia -aaya mapenzi yanaokosanaa
Hata wivu kwani naosina roho ya chuma
Nakusihi usiniache solemaa-aa
Nahisi na mimi nisije kuwacha solema
Chorus 2x
Usiende mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usotoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usiendeeee......mimi bado nakupenda (2x)
Usiondoke.....mimi bado nakupenda (2x)
Nakupenda wanipenda usija penda mbali nami
Usiende......mimi bado nakupenda
Usiondoke....mimi bado nakupenda (3x)
Nakupenda wanipenda usija penda mbali nami

No comments:

Post a Comment